Nikiwa nawadharau na kuwaiteni Wapumbavu msiwe mnachukia sawa? Fuatilia Uwasilishaji wa
CHIZI VITABU au majibizano yake nami Kutwa hapa JamiiiForums kisha niambie ni wapi mnapata Uhalali wa kila ID hapa kunihusisha nayo.
Hivi ni kwanini wengi wenu hapa ( hasa mlio Wapumbavu kama Wewe ) Kivuli changu na Umaarufu wangu mkubwa hapa unawateseni na mnahangaika mno nami? Kuna ambacho GENTAMYCINE mnanidai badala ya Kula vyenu?
Yaani kila ID tu hapa ikija na Kongole ( Pongezi ) Kwangu GENTAMYCINE basi ni yangu ( Mimi Mwenyewe ) na kwamba najianzishia Uzi ili kupata Sifa na Umaarufu pia.
Sasa naendelea Kuwarahisishieni Wapumbavu wote mnaopenda Kunihusisha na ID's hapa JamiiiForums kuwa ID's zote ni zangu sawa?
Wivu na Uswahili vinawateseni sana tu.