Asanteni Simba kufata ushauri wangu, chizi vitabu mwenye akili nyingi

Popoma una ID nyingi ,karibia umeanza kujitaja kutafuta ujiko na kujisifia
Nikiwa nawadharau na kuwaiteni Wapumbavu msiwe mnachukia sawa? Fuatilia Uwasilishaji wa CHIZI VITABU au majibizano yake nami Kutwa hapa JamiiiForums kisha niambie ni wapi mnapata Uhalali wa kila ID hapa kunihusisha nayo.

Hivi ni kwanini wengi wenu hapa ( hasa mlio Wapumbavu kama Wewe ) Kivuli changu na Umaarufu wangu mkubwa hapa unawateseni na mnahangaika mno nami? Kuna ambacho GENTAMYCINE mnanidai badala ya Kula vyenu?

Yaani kila ID tu hapa ikija na Kongole ( Pongezi ) Kwangu GENTAMYCINE basi ni yangu ( Mimi Mwenyewe ) na kwamba najianzishia Uzi ili kupata Sifa na Umaarufu pia.

Sasa naendelea Kuwarahisishieni Wapumbavu wote mnaopenda Kunihusisha na ID's hapa JamiiiForums kuwa ID's zote ni zangu sawa?

Wivu na Uswahili vinawateseni sana tu.
 
Yaani nacheka tu hapa kumbe ulikuwa unazoom tu kwa mbali
 
huchoki kubandika aya kubwa hivi halafu upumbavu tu unaandika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom