proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,593
- 4,968
Mkuu kunywa maziwa kunahusiana vipi na kupunguza athari za uvutaji sigara hasa athari za kwenye mapafu, nisaidie shule kidogo hapo ndugu yanguPole sana..
Hivyo vipisi nikajua ulikua unapoga Cigar..
Kunywa sana maziwa kuyanusuru mapafu na maini yako.
Sent using Jamii Forums mobile app