Asanteni sana wana jf nimeimprove kwa michango yenu

Asanteni sana wana jf nimeimprove kwa michango yenu

umefanya maamuzi gani mkuu??
tupe mrejesho wa maamuzi yako ambayo yamekusaidia na kuja kushukuru hapa!
maana coments za wadau ni nyingi sana na hazifanani, wewe ulifata ushauri upi uliokujenga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye huu uzi nilioandika MIAKA 6BILA KUISAHAU KAULI ALIYONIAMBIA kuna wadau wengi walishauri, walinipa moyo, wengine wakaniambia nimwelezee. Nikamweleza. Akaomba Samahani akaniambia "haikuwa kwa nia mbaya Lengo ilikuwa ni kuborehsa Penzi letu, akasema aliponiambia baada ya hapo mbona nilibadilika?. Akasema je, ningekaa kimya si ningeenda kwa anayeniridhisha? Lakin sikufanya hivo niliona tuyajenge yakwetu yawe matam zaidi". Bas kauli kama hiyo ikanibadili mawazo na hatavingine nikasahau nikaanza ukurasa upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee sigala huvuti kabisaaa... Jilanin yangu anavuta sigala hata pakiti 70 kwa siku...anavuta mpaka anasema anaomba sigala ziwe ndefu hizi zilizopo ni fipi sana.zinaiisha halaka.wewe cha mtoto kabisa.
 
Hongera sana Mkuu!
Mungu azidi kukulinda dhidi ya mabaya!

Happy New year!
 
Back
Top Bottom