Asanteni sana wana JF hasa wanaume kwa ushauri

Asanteni sana wana JF hasa wanaume kwa ushauri

Katoto kadhuri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
759
Reaction score
327
Jana niliweka bandiko la upweke thumuni ikiwa ni uhitaji wa faraja,.

Kwakweli Jana nilienjoy nilifarijiwa sana yaani wababa wa makamo wana maneno mazuri jamani sijapata onaa!!

Yanii wanabembeleza kama tushajuana zamani, wanaushauri wa kimaisha yaani hakika nawaahukuruni sanaa. Yaani mawazo yoote niliyokua nayo yameishaa!

Hadi sasa bado wanaendelea kuja pm kunisalimia na kunipa pole, hakika nasema asanteni saana natafakari zawadi ya kuwapeni lakini siioni itakayo wafaa kwa pamoja
Screenshot_20180325-102352.png
 
Haya ila punguza kuchepuka ili ukipata mwingine asije kukuacha kama huyo
 
Kwa hiyo avatar yako ya 06:00pm iliwavutia wengi nadhani walitamani uwakaribishe 08:20pm.
 
Jana niliweka bandiko la upweke thumuni ikiwa ni uhitaji wa faraja,.

Kwakweli Jana nilienjoy nilifarijiwa sana yaani wababa wa makamo wana maneno mazuri jamani sijapata onaa!!

Yanii wanabembeleza kama tushajuana zamani, wanaushauri wa kimaisha yaani hakika nawaahukuruni sanaa. Yaani mawazo yoote niliyokua nayo yameishaa!

Hadi sasa bado wanaendelea kuja pm kunisalimia na kunipa pole, hakika nasema asanteni saana natafakari zawadi ya kuwapeni lakini siioni itakayo wafaa kwa pamojaView attachment 724639
Zawadi usitoe kwa jumla toa kwa mmoja mmoja anza na mimi kwanza.
 
Back
Top Bottom