Wewe ukienda nje ingali upo kwenye ndoa utakuwa unafanya hivyo kwa hiari yako mwenyewe. Usiseme mume ndo anakufanyisha uende nje kwa sababu huko nje unajipeleka mwenyewe unless uniambie anakupeleka yeye mwenyewe.

Hakuna mtu anayemfanya mwenzake alale na mwingine asiye wake. Ama achana naye au vumilia na ukiheshimu kiapo ulichoapa. Kama huwezi kukaa bila sex basi achana naye kwanza halafu ndo ujiachie upendavyo. Lakini si utoke nje halafu utoe kisingizio cha eti yeye ndo amekufanyisha utoke. Haikubaliki hiyo.

niliongea kuhusu mume kwenda nje kila mtu kachangia wazo but let me tell u truth guys mie siendi nje nai heshimu sana ndoa yangu na mume nampenda sana na nimezaa nae watoto 3 na mda ninao kwa ajili yake sifanyi job niko ndani tu but mwanaume huyu hanithamini mpaka nikiwa na mimba ananipiga kipigo kikali na hashindi ndani kuanzia asubuhi anatoka mpaka alfajiri anarudi pia nimekaa kimya msg simu za wanawake pia naona but still niko kimya no sex btn us mpaka miezi inapita hata 2 na hata akikutana kimwili basi dakika 2 tu hivi kweli hii sahihi,kwa kweli mie nitasema kitu kimoja mume ndo anamfanyisha mke aende nje afanye hilo kosa coz mume hampi love,care,happiness kila kitu sio pesa jamani mapenzi....

nahc umeandika bila kufikiria vzr

Nafikiri kuna kitu ambacho kimemfanya mume wako awe na hizo tabia

Angalia mienendo yako na ujichunguze mahali ambapo ulikosea na ujirekebishe mapema

Kwenda nje ni kumkomoa mumeo na hapo hujafanya lolote la maana

Je ushawashirikisha wazazi au mshenga wa ndoa yako kabla ya kufikia maamuzi haya

kila mwaka nazalishwa mtoto mmoja ili niwe busy na watoto ye afanye mambo yake hivi kweli jamani wanaume wanaroho ngumu namna hiyo now nimepatwa na matatizo fulani ya magoti kulia nikichuchuma au nikibend zinalia sielewi ni nini au yale maji ya uchungu yanaifect naomba ushauri
kila mwaka nazalishwa mtoto mmoja ili niwe busy na watoto ye afanye mambo yake hivi kweli jamani wanaume wanaroho ngumu namna hiyo now nimepatwa na matatizo fulani ya magoti kulia nikichuchuma au nikibend zinalia sielewi ni nini au yale maji ya uchungu yanaifect naomba ushauri

<br / kosa la 1. UMEOLEWA NA MUME WA MTU (we ni mke wa 2)kwa kweli naumia sana kwa yote anayonifanyia nimelia sana mpaka machozi sasa yamekauka kuna mume anae weza kumtell mke kama tafuta bwana mwingine na mie mke wa pili mke wa kwanza pia kafanyiwa haya yote sasa mimi na anatka kuoa tena watatu hivi ndugu zanguni hivi hii sahihi yaani mpaka nawachukia wanaume waongo sana sitaki tena kuolewa najuta hamna mapenzi ya kweli dunia hii kila mtu anamaana yake anataka anachokitaka basi tu

<br / kosa la 2. HUFANYI KAZI/SHUGULI YYT YA KUKUINGIZIA KIPATO NA KUKUKA BUSSY unamtegemea mwanamume kwa kila ki2niliongea kuhusu mume kwenda nje kila mtu kachangia wazo but let me tell u truth guys mie siendi nje nai heshimu sana ndoa yangu na mume nampenda sana na nimezaa nae watoto 3 na mda ninao kwa ajili yake sifanyi job niko ndani tu but mwanaume huyu hanithamini mpaka nikiwa na mimba ananipiga kipigo kikali na hashindi ndani kuanzia asubuhi anatoka mpaka alfajiri anarudi pia nimekaa kimya msg simu za wanawake pia naona but still niko kimya no sex btn us mpaka miezi inapita hata 2 na hata akikutana kimwili basi dakika 2 tu hivi kweli hii sahihi,kwa kweli mie nitasema kitu kimoja mume ndo anamfanyisha mke aende nje afanye hilo kosa coz mume hampi love,care,happiness kila kitu sio pesa jamani mapenzi....