Erickb52 asante sana mkuu
Hahahahaaaaaaa Preta bado yuko juu sana kama huamini muulize KakaKiiza anajua au Tanmo coz ukimuuliza mtu chake hatajua (Ameshamchoka)Erickb52 asante sana mkuu
Bado anaiba aise
ila sijamkamata nasikia fununu tuu ila namvizia nikimpata talaka yake anayo na za ukoo wake wote
Ila nimemuona mkeo BADILI TABIA akiwa na Asprin leo wanaenda kula kwenye lile genge la mama lishe pale mtaani Preta ukiona hivyo ujue umesghaachwa pamoja na kujitahidi kutoa ofa za nyama choma na bia
Hahahaaaa Mzee wa Rula we hujajua wivu wa Preta kuniona natesa na watoto wa Dar?erick52 Preta kasema chawote sijui kama ni kweli, basi kwa kukusaidia Blaki Womani kamwambia nitonye kuwa umemsahau au akina Boflo wamekuchanga na like zao!!!!!
Jambo moja la maana uliliofanya ni kumtakia Roulette mfungo mwema ni dalili ya ku book kadi ya Iddy lol.
Kwa ujumla nawatakia wote wana JF Iddy njema ambayo inajongea kwa kasi.
ruttashobolwa kamanda wangu naamini hujambo kabisa....!hivi aja kuruhusu tu? Kweli kuna wanawake wanajua kuteka yan hata mtu hapati pumzi! Nomaa welcome back Erick
waume zangu wote humu naona umewataja....mke wao umenisahau.....hivi wantakani weye......