Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .
Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.
Maazimio yalikuwa.
-Vyama vyote vya siasa viruhusiwe kushiriki uchaguzi.
- Kiongozi wa upinzani aliye jera ,mashataka yafutwe na aachiliwe mara moja.
-Uchaguzi uwe transparent,free and fair.
Hatua ambazo marekani imelenga kuzichukua.
-Travel ban Kwa viongozi wa serikali (hii iliwapanikisha sana 😁, Hadi Samia akajisahau akasema anaombwa list ya passport za watu wake)
-marekani kusitisha Kila aina ya msaada, mfano mafunzo ya kijeshi, Scholarship,Chanjo,dawa, na misaada mwingine.
-Kupiga marufuku airlines kutoka Tanzania kutua kwenye viwanja vya America (ATCL walikuwa kwenye negotiations)
-Viongozi waandamizi wa serikali kunyimwa visa, ya kuingia marekani ata kwenye vikao muhimu kama UN.
-Kuzui wamarekani kuingia Tanzania kama watalii maana Kuna kutekwa,watu kufirwa,rekodiwa video za uchi, na kubakwa.
Reaction ya serikali ya Tanzania.
- Kuomba mazungumzo na marekani ( refers kauli ya Msigwa)
-Kupiga U-turn kuwa Chadema bado Wana nafasi ya kushiriki uchaguzi.(Refer kauli ya mwanzo ya Kailima wa NEC
-kuhaidi kumwachia Lissu.
-Kufanya minimum reforms kabla ya uchaguzi.(Refer bunge kuhairishwa)
Sitazungumza mengi ila maazimio ya Marekani ilikuwa ni kilio na kusaga meno kwa CCM.
Kuanzia July mtajionea wenyewe changes za serikali kuhusu political space.
N.B mie si mwandishi mzuri.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA