Asante Mungu. Alhamdullah

Hongera sana Mzee, kwa kupata mtoto wa kike.
 
Last edited by a moderator:
karibu sana totoo humu duniani,
ukikua twakukaribisha jamvini,
upatapo akili ccm utilaani...
hongera kwa wazazi kwa kutuletea baby girl
 
hongera sana Mzee

ila atakapokuwa na umri wa miaka 15 hicho chama hakitakuwepo. Sijajua lengo lako nini labda ni kuwekea Historia tu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…