Tetra
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 1,526
- 771
::
Kosa lako la kwanza ni wewe kuniacha.
Kosa lako la pili ni kunipa nafasi nijue naweza kuishi bila wewe.
Asante kwa kosa lako la pili
::
Kosa lako la kwanza ni wewe kunizoeza maneno matamu yaliyonifariji.
Kosa lako la pili ni wewe kuwa mkimya,umenifundisha kutojua unalonikusudia.
Asante kwa kosa lako la pili.
=
Kosa lako la kwanza uliniambia upo single kumbe una watoto,nilipojua uliniomba msamaha
Kosa lako la pili ni kuwa unaendelea na ex wako
Asante kwa kosa la pili
::
Kosa la kwanza
Ulinitumia meseji ukinitaka nifute namba yako na tuachane,nikatii
Kosa lako la pili unanipigia na kunisumbua,
Asante kwa kosa la pili maana umenithibitishia hutakuwa na msimamo nyakati ngumu za uhusiano.
::
ASANTE KWA KOSA LA PILI LIMENIONYESHA UPANDE WA KUSIMAMA.