as a FATHER what will you do...kama BABA ungefanayaje?

as a FATHER what will you do...kama BABA ungefanayaje?

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
426
Reaction score
54
watu wanakuingilia ndani mbele ya mkeo na watoto wanakufanyia mbaya kwa kupiga na kukuzalilisha na wanamfanyia mkeo mbaya wanawaua watoto zako na wanachukua mali zako, kwa bahati nzuri unawajua wezi wako vizuri na mali zao zilipo na watoto wao walipo...kama baba ungechukua hatua gani kuwafundisha hawa wezi kuanzia wao na kizazi chao kinachofuata.....chukulia mfano wa waingereza na wamarekani kuvamia LIBYA.:angry:
 
mbona kichwa cha habari umeandika kwa 2 languages?
 
Nitawasamehe. Ila nikipata nguvu nawashukia kama Tai na kuwateketeza wote, life Goes on....
 
Wamerekani ni kama pweza, "wanajipalilia mkaa" wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom