Arusha yawaka moto.

WanaApollo mko wapi...Mji wenu unachezewa na kafiri!
 
tuko eneo husika mkuu ila wamejizatiti..lema na wabunge wapo uwanjani
 
Askari polisi pleaseeeeee!!!!!!!!!!! Fikirini kabla ya kutenda. kumbukeni mara baada ya kufanya ubabe wenu wa kijinga, mtarudi majumbani mwenu ambako ndiko mtaani tunakoishi sisi wananchi. familia zenu tunaishinazo sisi, watoto wenu tunasoma nao sisi. siku tutakapowachenchia ndipo mtakapohamishia familia & ndugu zenu vituo vya polisi. kwani mnaokuja kutupiga tunawafaham vizuri (mnakoishi, na vijiwe vyenu vyote) acheni ujinga na elimu zenu za ku-ungaunga kwa gundi. ala!!!!!!!!!!!!!!!!!:angry:
 
Wana wa Arusha bebeni chupa za maji. Dawa ya mabomu ya machozi ni ndogo. Wakipiga hayo mabomu mnayakimbilia haraka na kuyamwagia maji.
 

Mh!mtaalamu naona una hasira sana na polisi!karibu sana mkuu jamvini!!
 
Sasa wanaharibu, hii ni season ya utalii, wageni wengi wamekuja kutalii, haya makampuni ya utalii arusha yasipokuwa na ushirikiano na kupinga huu ubabe wa polisi wataingia 2011 wakiwa hoi, maana wageni watahairisha safari kwa kuogopa usalama wao, au wamesahau arusha ndio kitovu cha utalii . Ingoje bbc na cnn itangaze ndio utaona watalii wakavyo cancel booking zao.

Soo bad kuwa na viongozi wasiofikiri kwa upana. Wao ni kuangalia matumbo yao tu.
 
CRASHWISE you deserve the Medal of Honor keep us posted..... tunahitaji watanzania kama wewe..... Media zetu uzushi mtupu.... inabidi tuwe our own media
 
tatizo moja polisi wote hawana elimu. ukifanya uchunguzi karibu wote wanatumia vyeti vya ndugu au jamana ndo wanaingia jeshi la polisi mkatae mkubali kwa hiyo karibu polisi wote either form 4 div 30 ---- zeroo. siku waambie walete vyeti vyao hapo ndo utakapojua hiloo.
kwa hiyo polisi hawana akili wala uelewa wowote ni ndio mzee kwenda mbeleeeee. ndo mana ni rahisi kupokea maamuzi ambayo pengine hata wao hawapedi. sasa watu hawana hata silaha leo mabomu ,bunduki za nini?
haya mambo yanamwisho wake iko siku tu mana watanzania wa sasa sio wale wa zamani, na wangejua kwa kufanya hivyo ndo wanazidi kupandikiza chuki.
 

Jamani tunawaonea bure polisi wao wanapokea maagizo kutoka serikali ya CCM iliyopo madarakani!!
 
Ndio unafanyika . Peoples powerrrrrrrrrrrrrrrr
Polisi kwa sababu za kijinga eti wanahofia maduka yataibiwa sasa kazi yao ni nini waache kazi watafute nyingine, wewe unaomba kazi ya jeshi halafu unahofia vita ikianza unafikiri jeshini ni kwenda kuimba mapambio pambaf zao.
 
CRASHWISE you deserve the Medal of Honor keep us posted..... tunahitaji watanzania kama wewe..... Media zetu uzushi mtupu.... inabidi tuwe our own media
Asante mkuu, nikweli media zetu bado sana sekeseke
limeanza asubuhi lakini tbc,itv nk wanekuja saa saba na dk 20
 
Polisi kwa sababu za kijinga eti wanahofia maduka yataibiwa sasa kazi yao ni nini waache kazi watafute nyingine, wewe unaomba kazi ya jeshi halafu unahofia vita ikianza unafikiri jeshini ni kwenda kuimba mapambio pambaf zao.
Cha ajabu kuna gari zaidi ya 6 uwanjani na zingine huku karibu na soko kuu na zingine zikizunguka zunguka na polisi wetu sasa kama hawakuwa na polisi hawa wakutuzuia wametoka wapi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…