Arusha vs dar es salaam

Last edited by a moderator:
Dada dada dada dada yangu Madame B, ndoa yangu mwenzio jamani, huyo sosoliso alikuja tu huku Lushoto kwa shuhuli zake na akaondoka salama salimini. Dada mdogo wako nampenda Judgement kutoka rohoni mwangu.

Mdogo wangu YNNAH, ungesubiri ningekutafutia mwanaume asiepiga, Judgement mkorofi sana mpaka mdogo wangu beibe nasty kampa talaka.
Ila siku akikupiga tu, nitwangie simu nije kumuonesha kazi.
Asiniumizie wadogo zangu.
 
Last edited by a moderator:
Hapa hakuna cha yarabi toba wala tobo................. sosoliso, andika talaka 3 kwa Paloma fasta.

hiyo yarabi toba na tobo ni yako wewe shoga sikutegemea...........hata wewe shoga yangu hata weweeeee!!!! Eeuphh!!! halafu nasema nna shoga mwenyewe kumbe................... hupendi kuniona nnavyopendwa na mai ozzbend sosoliso!!!! wakati mie nilisherehekea wewe ulivompata shem wangu wa ukwehe Ben sanane na kiplagati26!!!
sasa just FYInfo sosoliso hajui kuacha!!!! na wala sio pendapenda kama wabwanga zako!!!:rockon:
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

umeona eeeenh.......... Mentor embu tuma hiyo PM manake kwanza bado sijaipata!!! Madame B mapenzi kitu ingine mdogo wangu............hujui mimi na sosoliso tumeshibana vipi!!!! embu chutama uombe radhi kwa kujatibu kuchafua hewa humu!!!
sosoliso bebiii its lunch time......pale pale pa jana, si ndio mpenzi!!!
 
Last edited by a moderator:
Habari za masiku vp bado unaimba kwaya?
 
Last edited by a moderator:
Dada dada dada dada yangu Madame B, ndoa yangu mwenzio jamani, huyo sosoliso alikuja tu huku Lushoto kwa shuhuli zake na akaondoka salama salimini. Dada mdogo wako nampenda Judgement kutoka rohoni mwangu.


dadako Madame B ana lake analolitafuta!!!
anasubiri talaka za wenzie...................!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…