Arusha to Dar kwa basi la harambee ni kama azabu

Arusha to Dar kwa basi la harambee ni kama azabu

Nahisi ni gari za kenya.
Mara nyingi hawana haraka ili wafike usiku walale.
Na kwa zile za tanga kila kituo vya ukaguzi vya madawa na wahamiaji haramu husimamishwa .
 
Kuna nyingine saibaba ila hayo mabasi yanasaidia kma umepata dharura na mfuko huna hela mana hata kwa 12 utaenda
 
Abiria wameshaanza kula mayai ya kuchemsha,mahindi ya kuchemsha,maharage,e.t.c?
Mapachichi, Karanga, Ndizi Mwisho Coca Cola Ama Pepsi Mkubwa Wao
Hapo Sasa Ni Kivumbi Na Jasho, Maji Utaita Mmaa 😀😁😂😅😄
 
😂😂😂 hizi comments Jamani..embu mpeni mwenzenu matumainu..khaa
 
Neno moja naloweza kuwaambia ndugu abiria ni kwamba "MTAFURAHI"
Haa😁😂😅😏😄😀😁😂
Yajayo Ni Neema Tupu!!! Halafu Atakapo Maliza Kula Hiyo Kitu Ataanza Kusinzia Ndiyo Sasa Bhalaa Hilo.
 
Hapo wamekupiga ila vumilia hilo hata elfu 18 unapanda, Utafika Dar saa tano usiku leo. Pole sana. Hilo basi nilipandaga miaka 20 iliyopita
Mkuu hivi ni yale ma-Harambee ya enzi na enzi au ni kampuni mpya imeamua kuita mabasi hivyo? Ile kampuni ya zamani bado inandelea?
 
Hzo basi sio za type yako mzee ndio maana ukapigwa kulingana na ulivyo ulivyo,kule nyuma wanawekwa wa elf12,15,18 wewe ulitakiwa upewe siti za mbele sema umewahi kupanda kwenye body ukifikir upo airport.
 
Kuna nyingine saibaba ila hayo mabasi yanasaidia kma umepata dharura na mfuko huna hela mana hata kwa 12 utaenda
Inategemea na msimu. Kama ni mwezi wa 12 hata Saibaba utalipa elfu 30. Ila kama ni msimu wa abiria wachache unaweza kulipa hata elfu 10 elfu tano ukamalizia ukifika Dar...ha ha ha
 
Hzo basi sio za type yako mzee ndio maana ukapigwa kulingana na ulivyo ulivyo,kule nyuma wanawekwa wa elf12,15,18 wewe ulitakiwa upewe siti za mbele sema umewahi kupanda kwenye body ukifikir upo airport.
Haaaaa Haaaaa 😂, sio. Kwa madongo hayo
 
Basi za wananchi hawaachi MTU njiani na kwenye kula amna kuarakishana mpaka upaliwe na chakula.
Hizi chuma zinaokoa sana mkuu kuna siku nlipandia ubungo saa8 mchana tukafika ar saa8usiku kwangu la mhimu ni kuwepo ar12 asubuhi,acha ziwepo tu[emoji2][emoji2]
 
Haaaaa Haaaaa [emoji23], sio. Kwa madongo hayo
Zile chuma zidumu milele mkuu wenye Mambo mengi zimetusaidia sana,kuna saibaba inatokeaga karatu sijui Kama bado ipogo,ikifika Arusha inakaa mpaka saa5:30 ndio linaondoka,sasa Mimi najikatia zangu tiket mapema naenda kwenye mishe zangu nacheza na mda tu.


Tatizo ni kwenye ile hoteli wanayotupelekaga LIVERPOOL sijui wanalipwagwa shilingi ngap aisee pakipuuzi sana.
 
Back
Top Bottom