Arusha to Dar kwa basi la harambee ni kama azabu

kuna siku nimelipanda kutoka dsm to arusha...asee nauli ata ilikua aileweki kuna dada alikata tiketi kwa 28k na jamaa mwingine kapanda kwa 15k wote tunaenda sehem moja....mimi nilipada kwa 22k

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hapo wamekupiga ila vumilia hilo hata elfu 18 unapanda, Utafika Dar saa tano usiku leo. Pole sana. Hilo basi nilipandaga miaka 20 iliyopita
angewapa JIWE tu mitano tena
Alafu nna byk fast yako tu hapa sijui lini utafata
 
Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani
Kwanza tuambie maana ya azabu halafu tukujibu thread yako.

Watoto wa siku hizi mnatutia aibu sana. Kiingereza hamjui, lugha za nyumbani hamjui, hata Kiswahili?
 
Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani
Gari mkweche kama huo from Arusha to Dar si chini ya shillingi 5,000....zaidi ya hapo watakuwa wamekuibia tu hela yako.
 
Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani
Umepigwa hyo mzee Kwanza ulitakiwa ujue Leo Kuna treni to Dar hlo basi litafika saa 6-8 usiku litakuletea usumbufu wa kufika unapoenda Ila tren unafika asubuh Yan kama ulilala baa vile.

Siku nyingine either ukiwa Dar or Arusha na muda imeenda Yan saa nne Hadi nane unashika teni mkononi kila mtu anaiona alafu mpiga debe akikuuliza mwambie unapoenda utaskia ongeza buku tano unawavimbia mpaka utafika kwenye gari husika unawapa 10 au unaongeza buku 2 hapo unaingia kwenye basi, Sasa Ile difference unaitumia kwenye pombe na nyama choma za mkata,msata,mombo na korogwe na ukifika sababu muda unakuwa umeenda unaliunga mpaka just litoke.

Sie wabishi ndo huwa hufanya hvyo ukaondoka mchana unafika asubuh unafanya lililokupeleka mchana unageuza
 
Tunaombaaa picha maana nasikia leo hilo bus nikajua umepanda bus la harambee kama bus za ccm
 
Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani
Nililipanda siku moja. Tulitoka. Ars saa tatu. Kufika Moshi wakapaki. Abiria walitukana mpaka bas. Dar tuliingia usiku.
Hivi Ile gari Ni ya Nani?
 
Leo nimechelewa kidogo kukwaajili ya safari ya arusha dar nimekuta basi la harambee stendi ya arusha yani huduma, basi lenyewe na utaratibu ni mbovu sana.
Image abiria wanaanza kuingia kwenye gari ndio wanawekwa siti za nyuma alafu wanaokuja kwa kuchelewa ndio siti za kati na mbele mhhh alafu gari ni 3 by 2 nauli wanataka 25,000/=
Ivi nauli elekezi kwa basi kama hili la 3 by 2 ni bei gani
Si ununue lako mkuu
 
Back
Top Bottom