Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,460
- 70,187
Mwenyewe nimeshangaa kusikia jina la hilo bus nadhani likikuwepo tokea kipindi kile cha kina Air Msae.Hapo wamekupiga ila vumilia hilo hata elfu 18 unapanda, Utafika Dar saa tano usiku leo. Pole sana. Hilo basi nilipandaga miaka 20 iliyopita