Arusha MP says 'Dirty' phots are fake

Arusha MP says 'Dirty' phots are fake

mbna mawasiliann ya zitto yalipowekwa hadharani hukusema haya? Ben tuache hzi double standards,hazitusaidii chochote.

Kweni mawasiliano ya Zitto yaliyowekwa hapa mtandaoni yaliambatana na picha za Zitto?
 
mbna mawasiliann ya zitto yalipowekwa hadharani hukusema haya? Ben tuache hzi double standards,hazitusaidii chochote.
Anachozungumza Ben si kwenye hii ishu tu- gutter politics ni pamoja na hizo ulizotaja! Kuna haja ya wamiliki wa tovuti, wavuti kuwa makini na chini ya sheria wanasababisha madhara makubwa sana kwenye afya ya miili na akili za watu! Ni sawa na kuwalisha watu madawa/vyakula vyenye sumu!
 
Hizi siasa zimefikia pahala pabaya, yaani baada ya kukosanakosana mabomu ndiyo tumefikia sasa hatua ya kutengenezeana picha za kuzalilishana? hili lazima likemewe vilivyo na viongozi wa serikali pamoja na tume ya mawasiliano kuwabaini hawa watu haraka sana; maana vinginevyo vijana wa CDM nao wakiamua kutengeneza picha za kiongozi yeyote wa chama tawala na kusisambaza hadi kwa wakwe na watoto wake hivi ndiyo siasa za vyama vingi zilipotufikisha?

This is too much - kama umezidiwa hoja kwenye majukwaa ya siasa kaa pembeni ukubali yaishe.
 
Zinamuonesha KAMANDA WA VITA akifanyiwa usodoma.

Hii mbaya sana. Pamoja na masuala ya Siasa kwa kweli this is too much! Just imagine, mwanao wa miaka saba,Mke wako na Mama Mkwe wako apate picha hizi, hii mbaya sana!
 
Muandaaji wa anaweza kudhani kuwa anamdhalilisha Lema, lakini asilojua ni kuwa ameidhilisha Tanzania, kama Taifa. A cilivilised nation haliwezi kujikita kwenye mijadala ya kinyama kama anavyotaka huyo muundaji wa picha.

Ni jambo la kujutiwa (regrettable) kwamba ustaarab wa Tanzania unapotea kwa kasi ya kutisha. Tumeshindwa kushindana kwa hoja sasa tumeamua kujikita kwenye siasa za kinyama. Shamefu!

Nakuunga mkono, tushindane kwa hoja na sio MATUSI YA NGUONI! Kwanza amejisalilisha mwenyewe kwa matendo hayo machafu aliyotuma mtandaoni.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hii mbaya sana. Pamoja na masuala ya Siasa kwa kweli this is too much! Just imagine, mwanao wa miaka saba,Mke wako na Mama Mkwe wako apate picha hizi, hii mbaya sana!

Wameshazipata tayari...Noma kweli!Itakuwaje wale mademu uliowaacha kwa makeke na mbwembwe nyingiii halafu wakaja kuziona hizo pornographic photo?Utawaangaliaje!!!!??
 
Napata woga na hizi taarifa kwani naomba mungu isije kuwa..
Unajua huo muda wa Oct 29 ambao Lema anasema ndio walianza kumchafua ni tofaut na habar nilioipataga kama sikosei itakuwa kwenye Oct 17 hiv, nilipuuza kwasababu alieniletea hyo habar ni Li CCM eti anajigamba Lema hana jipya tena mwanaume hawez kubali kwa namna yeyote ile.
Hyo ilikuwa Mbuguni Ara kama unaenda Mererani.

Inauzi sana kuchafuana na sheria ichukue mkondo wake.
 
Kinara wa usambazaji hizo picha facebook ni Mtela Mwampamba.. Ninayo screen shot ya wall Mtela akiwaameitundika hiyo picha kwenye mtandao.

Kama sijakosea kisheria ni kosa kusambaza picha za utupu atakama siyo mtengenezi wa picha usika.
 
Last edited by a moderator:
Isikute mh kweli amevunwa ,maana Arusha hakutabiri kabisa.

Mkuu, hakika Lema amevunwa na chanzo kinadaiwa kuwa ni kuwatapeli vijana ambao aliwapa kazi fulani kufanya. Baada ya kazi kukamiilika, Lema aliwageuka na ndipo mpango wa kumvuna ulipoandaliwa. Nasikia jamaa walikuwa wanne na kila mmoja alivuna kwa kadri ya uwezo wake
 
Kinara wa usambazaji hizo picha facebook ni Mtela Mwampamba.. Ninayo screen shot ya wall Mtela akiwaameitundika hiyo picha kwenye mtandao.

Kama sijakosea kisheria ni kosa kusambaza picha za utupu atakama siyo mtengenezi wa picha usika.

sasa wasiposambaza tutajuaje kama Lema alipakuliwa?
 
Hii mbaya sana. Pamoja na masuala ya Siasa kwa kweli this is too much! Just imagine, mwanao wa miaka saba,Mke wako na Mama Mkwe wako apate picha hizi, hii mbaya sana!

Mkuu, ndo Lema atakapojua kuwa si kila siku ni nyota njema kwake. na ukiwa mhuni epuka utapeli. yeye katapeli na jamaa wamemfanya usodoma
 
Uwe na heshima kwa Rais wako huo si ustaaarabu hata kidogo hata Mungu hapendi, nalaani kabisa kitendo hiki kwako na wote waliotuma picha feki za Mhe. Lema
Mbona unanishambulia nimesema tu kuwa ninazo tangu mwaka jana lakini kutokana na heshima na sheria za nchi sijaziweka kwenye mitandao....
 
Back
Top Bottom