Arusha MP says 'Dirty' phots are fake

Arusha MP says 'Dirty' phots are fake

ninazo hizo picha pm namba yako wats up nikurushie.
kama unapenda umbea
 
Muandaaji wa anaweza kudhani kuwa anamdhalilisha Lema, lakini asilojua ni kuwa ameidhilisha Tanzania, kama Taifa. A cilivilised nation haliwezi kujikita kwenye mijadala ya kinyama kama anavyotaka huyo muundaji wa picha.

Ni jambo la kujutiwa (regrettable) kwamba ustaarab wa Tanzania unapotea kwa kasi ya kutisha. Tumeshindwa kushindana kwa hoja sasa tumeamua kujikita kwenye siasa za kinyama. Shamefu!
 
kinachotia shaka ni kwamba mke kaiona halaf akaomba ushauri kwa mchungaji! Maana anayelijua zaidi umbo la lema ni mkewe! kama ni fake nadhani hata kwa mchungaji lisingefika! Anyway not guilty until proven, ila kama mdau mmoja alivyosema what goes round comes around!
 
Very sad. Hivi haiwezekani kutrack source ili hatua za kisheria zichukuliwe? Picha za ajabu atumiwe mama mzazi hadi wakwe?

Source ya hizo picha inaweza kupatikana ila hatujui TCRA kama wanaweza kufanya hivyo.
 
Pole Lema,itapita na utabaki salama.Ni mchezo mchafu na inatubidi tuupinge kwa nguvu zetu zote.
 
Picha kama hiyo ilitengenezwa kwa Jakaya Kikwete mwanzoni mwa kipindi chake cha urais. Sote tunajua reaction ya dola ilivyokuwa na namna mamilioni ya walipa kodi yalivyotumika kuwasaka walioipost mitandaoni. Ilivyoletwa hapa nakumbuka wengi walilamba BAN za maisha.

Sasa imerudi kwa Lema, TCRA wamefumba macho, ngoja iwekwe ya Bilal akimtafuna Kikwete ndipo watatia akili...
Mpaka kesho Rais Kikwete watu wanamchafua nenda facebook wanatumiana picha kama hizo lakini rais Kikwete anawapuuza tu hakuna adhabu kubwa kama kumpuuza mjinga.
 
Kitendo cha TCRA kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.Tutaona

Nakumbuka kuna mitandao sijui ya nje iliwahi kumweka rais wetu, ilifuatiliwa fasta na kufungwa, hivi walioreact siku zile walikuwa nani? vyombo vya nje au vya hapa nchini?
 
pole kamnda Lema wanadhani watakurudisha nyuma kumbe wanajisumbua. Piga kazi achana nao sisi wapiga kura wako tunakuamini
 
Mimi binafsi pamoja kuwa napigana na Lema pamoja na CHADEMA lakini kitendo alichofanyiwa Lema siyo cha kiungwana, hii tabia imeishazoeleka mitandaoni kuchafuana.

Vip ile ya ubakaji iliishiaga wapi? Teh...mnatoa povu kwa picha fake,kwa nini hamkutoa povu wakati wa kuandaa report fake?
 
Picha kama hiyo ilitengenezwa kwa Jakaya Kikwete mwanzoni mwa kipindi chake cha urais. Sote tunajua reaction ya dola ilivyokuwa na namna mamilioni ya walipa kodi yalivyotumika kuwasaka walioipost mitandaoni. Ilivyoletwa hapa nakumbuka wengi walilamba BAN za maisha.

Sasa imerudi kwa Lema, TCRA wamefumba macho, ngoja iwekwe ya Bilal akimtafuna Kikwete ndipo watatia akili...

Nakumbuka mambo haya ndio yalifanya blogu yangu kipenzi ikafungiwa.....ZE UTAMU.
 
pole kamnda Lema wanadhani watakurudisha nyuma kumbe wanajisumbua. Piga kazi achana nao sisi wapiga kura wako tunakuamini

Sema mimi mpiga kura wako ninakuamini,sio sisi wapga kura wako,tafadhari usijumuishe na sie tulio mbaali na wavuta bangi
 
Vip ile ya ubakaji iliishiaga wapi? Teh...mnatoa povu kwa picha fake,kwa nini hamkutoa povu wakati wa kuandaa report fake?
Kamanda! Mbona unakurupuka kunijibu wewe ukiona ID basi hautaki hata kusoma alichoandika, mie nitoe povu kwa ujinga huo wa picha.
 
Back
Top Bottom