Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Nitumie hizo picha nizione,maana kasema atagawa katika mikutano yake,atuwekee na JF la Wakubwa
nani atazigawa sasaaaa
Nitumie hizo picha nizione,maana kasema atagawa katika mikutano yake,atuwekee na JF la Wakubwa
Gutter politics.....
Unachanganya sana kama unadhan harakati za gesi za Mtwara zilkuwa ni za kisiasa au zilikuwa zinapewa backup na wanasiasa, Na hazijafeli,Zipo na zitaendelea kuwepoMkuu ni kweli kwenye sakata la gesi huyu jamaa alipata credit za kutosha hapa JF mpaka tukawa na hofu na usalama wake. Sio siri hali ilivyo fikia kuwa mbaya nilishawahi kumwombea dua asipatwe na mabaya. Sasa amegeuka na kuwa tofauti na kuwatia aibu watu wa kusini. Na kama watu wa kusini walikuwa wanamwona THE BIG SHOW kuwa nimtu wa kutegemea basi wamepotea. Hamna kitu hapo
Azirushe humu ili iweje? Waambie daily news wakupe link ya hayo mapicha
Tumia akili basi, Sasa kwani Mafisadi wa CCM wakifisidi gesi au Tembo hasara inakuwa ya kwangu mimi au ya taifa lote kwa ujumla?? Wewe unadhan kwa kuniambia mimi gesi inatoka ndio nin sasa??niumie au nisononeke?? Njoo uzungumze hoja na unikosoe,sio kubwabwaja kama umerukwa na akili umerukwa naNenda zako gesi inatoka na hautafanya lolote utaishia kubwabwaja kwenye keyboard kama Lumumba wenzako
Mkuki kwa nguruwe ehhh za Kikwete mbona hukusema TCRA ila za bosi povu linakutoka.
kitendo cha tcra kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.tutaona
Nyamaza!!!!!! Wake zenu wabakwe na jeshiccm wewe bwabwaja kwenye keyboard kama lumumba wenzakoTumia akili basi, Sasa kwani Mafisadi wa CCM wakifisidi gesi au Tembo hasara inakuwa ya kwangu mimi au ya taifa lote kwa ujumla?? Wewe unadhan kwa kuniambia mimi gesi inatoka ndio nin sasa??niumie au nisononeke?? Njoo uzungumze hoja na unikosoe,sio kubwabwaja kama umerukwa na akili umerukwa na
Teh teh teh, nimecheka, kwa sababu nauhakika umeamua kuchekesha kidogo.lema ni janga kwa vijana, ameiga tabia ya slaa
Mkuu ficha upumbavu wako!! Nchi inabakwa hii!! Stuka!! Kuna kontenna la futi 40 limekamatwa Zenj likitokea Dar, nadhani hizi ni habari njema kwako eti?Nyamaza!!!!!! Wake zenu wabakwe na jeshiccm wewe bwabwaja kwenye keyboard kama lumumba wenzako
Mkuu, mimi mwenyewe nilikupa heshima sana, kutoka mpigania rasilimali mpaka mshabikia picha chafu, umejishusha mno,Unachanganya sana kama unadhan harakati za gesi za Mtwara zilkuwa ni za kisiasa au zilikuwa zinapewa backup na wanasiasa, Na hazijafeli,Zipo na zitaendelea kuwepo
Mkuu Sizinga hebu niache na huyu jamaa kwanzaMkuu ficha upumbavu wako!! Nchi inabakwa hii!! Stuka!! Kuna kontenna la futi 40 limekamatwa Zenj likitokea Dar, nadhani hizi ni habari njema kwako eti?
iweke hapa mkuu tuhondomole uhondomimi ninayo ya kikwete na nape..
Nakumbuka picha kama hizo za Kikwete ziliwahi kutengenezwa na kupostiwa ZE UTAMU. Lakini kodi yetu ilitumika mpaka wamiliki wa mtandao wa ZE Utamu wakatiwa mbaroni London, sio Tanzania.
Leo TCRA wanachekelea Lema kuchaufuliwa kama wakati ule wa kampeini za Urais pale Dr. Slaa alipochafuliwa.
Lakini TCRA wanasahau kwamba sio UVCCM na Mwingulu tu wanaoweza kutengeneza hizo picha na kuzituma mitandaoni. Mimi Mwenyewe naweza kuzitengeneza.
Sasa sijui siku TCRA watakapokuta picha za aina hiyo za Kikwete, Wassira, Kinana, Lukuvi, Sophia Simba, Nape, Makinda, Ndugai etc zimetengenezwa na kusambazwa mitandaoni watasemaje?
Huu ujinga wanaolea TCRA utakuja kuwatokea puani yangu macho. Uko wapi Innocent Mongi?! Mbona hili la Lema kuchafuliwa hulitolei maelezo pale ITV kama kawaida yako?
Gazeti la Daily News la leo tar 13 Nov 2013 ukurasa wa 3 limeandika habari ya Lema kusema kwamba picha chafu zinazosambaa mtaani kumhusu yeye ni fake.
Lema akiongelea hizo picha anasema picha hizo zilianza kutumwa kwa mke wake ambaye naye alizituma kwa Mh Msigwa kuomba ushauri, Lema anasema ameshawafahamu wasambazaji wa hizo picha na anadai kuwa ni mahasimu wake wa kisiasa ambao wengine wako ndani ya CDM na wengine ni wa nje.
Baadhi ya namba zinazodaiwa kusambaza picha hizo ni 0752-593773, 0787717733, 0684-941134, 0688913046, na inasemekana zaidi ya watu 200 wenye smartphones wameshapata hizo picha.
Source: Daily News.
Hii habari sijaiona humu, naomba kama ipo mods unganisheni, lakini pia mwenye hizo picha aturushie tujihakikishie kweli ni fake au za kweli.
Udaku mpaka kwenye mambo ya msingi....eti huyo jamaa nae anajiita kijana!..Lost generation!Tumia akili basi, Sasa kwani Mafisadi wa CCM wakifisidi gesi au Tembo hasara inakuwa ya kwangu mimi au ya taifa lote kwa ujumla?? Wewe unadhan kwa kuniambia mimi gesi inatoka ndio nin sasa??niumie au nisononeke?? Njoo uzungumze hoja na unikosoe,sio kubwabwaja kama umerukwa na akili umerukwa na
Gazeti la Daily News la leo tar 13 Nov 2013 ukurasa wa 3 limeandika habari ya Lema kusema kwamba picha chafu zinazosambaa mtaani kumhusu yeye ni fake.
Lema akiongelea hizo picha anasema picha hizo zilianza kutumwa kwa mke wake ambaye naye alizituma kwa Mh Msigwa kuomba ushauri, Lema anasema ameshawafahamu wasambazaji wa hizo picha na anadai kuwa ni mahasimu wake wa kisiasa ambao wengine wako ndani ya CDM na wengine ni wa nje.
Baadhi ya namba zinazodaiwa kusambaza picha hizo ni 0752-593773, 0787717733, 0684-941134, 0688913046, na inasemekana zaidi ya watu 200 wenye smartphones wameshapata hizo picha.
Source: Daily News.
Hii habari sijaiona humu, naomba kama ipo mods unganisheni, lakini pia mwenye hizo picha aturushie tujihakikishie kweli ni fake au za kweli.
kitendo cha tcra kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.tutaona
Ulinipa heshima yako kwa kupigania rasilimali,nilikuomba heshima yako??i don know you,you don know me,you can take heshima yako, Mi siko hapa kukuimpress wewe au yyte yule,unapoteza time yako tuhMkuu, mimi mwenyewe nilikupa heshima sana, kutoka mpigania rasilimali mpaka mshabikia picha chafu, umejishusha mno, Saa hizi nakuona buyu tu...