Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
lakini bado atabaki kuwa mbunge wetu tu, watajaribu lakini mtashndwa.
Hakuna cha kujaribu Mkuu. Lema ni mmafia wa hali ya juu na hayo yanayompata sasa ni matokeo ya umafia wake
lakini bado atabaki kuwa mbunge wetu tu, watajaribu lakini mtashndwa.
Mkuu, hizo picha ni tendo halisi au zimetengenezwa kama walivyodai ile video ya Lwakatare?Nenda kaangalie hizo picha live pale shule ya Ngarenaro
Mbona hiyo ya JK mtu akula mvua 2 jela, hili TCRA mbona hawatoi ushirikiano, na wakiendelea kutotoa ushirikiano tutaamini waliohusika ni watu gani.Mkuki kwa nguruwe ehhh za Kikwete mbona hukusema TCRA ila za bosi povu linakutoka.
Tumeshakujua sana kwamba wewe ni mchafuzi sifa ulizojijengea kwenye jamvi hili za ukomavu na usimamizi wa mali asili za taifa zimegeuka na kuwa kiwavi cha matusi na mtambo wa uongo na, mkosa heshima na mropokaji ,toeni hizo picha tuzione tunasikia nyimbo ndefu picha hatuzioni ,
nenda facebook kuna page inaitwa FIKRA HURU.
lakini bado atabaki kuwa mbunge wetu tu, watajaribu lakini mtashndwa.
Alama za mnafiq ni 3. Ukizirejea tena hutampenda Ritz
ni kweli unachosema, ila huu si umafia ndugu yangu Lizaboni, huku ni kuzalilishana kwa mambo yasiyo na tija hata kidogo. na leo hii ndo napata picha sisi tunatakiwa tuongozwe na kina Nkapa awamu 3 mfululizo kisha Kadame awamu 3 kisha amalizie awamu mbili za Adolf Hipler ndo tutapata maendeleo kwa mwenendo huu.Hakuna cha kujaribu Mkuu. Lema ni mmafia wa hali ya juu na hayo yanayompata sasa ni matokeo ya umafia wake
Nakumbuka picha kama hizo za Kikwete ziliwahi kutengenezwa na kupostiwa ZE UTAMU. Lakini kodi yetu ilitumika mpaka wamiliki wa mtandao wa ZE Utamu wakatiwa mbaroni London, sio Tanzania.
Leo TCRA wanachekelea Lema kuchaufuliwa kama wakati ule wa kampeini za Urais pale Dr. Slaa alipochafuliwa.
Lakini TCRA wanasahau kwamba sio UVCCM na Mwingulu tu wanaoweza kutengeneza hizo picha na kuzituma mitandaoni. Mimi Mwenyewe naweza kuzitengeneza.
Sasa sijui siku TCRA watakapokuta picha za aina hiyo za Kikwete, Wassira, Kinana, Lukuvi, Sophia Simba, Nape, Makinda, Ndugai etc zimetengenezwa na kusambazwa mitandaoni watasemaje?
Huu ujinga wanaolea TCRA utakuja kuwatokea puani yangu macho. Uko wapi Innocent Mongi?! Mbona hili la Lema kuchafuliwa hulitolei maelezo pale ITV kama kawaida yako?
Hiz cm ndizo walizo pewa uvccm kule zanzibar na kiongoz fulan,kumbe kaz yake iliku hii? Pole sana kamanda Lema.
Ni pamoja na mimi namuamini kamanda Lema, bado tu hana haki ya kutumia neno sisi?Sema mimi mpiga kura wako ninakuamini,sio sisi wapga kura wako,tafadhari usijumuishe na sie tulio mbaali na wavuta bangi
Mkuu, hizo picha ni tendo halisi au zimetengenezwa kama walivyodai ile video ya Lwakatare?
Mimi nimeziona labda watu wa IT ndio wataamua
Kitendo cha TCRA kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.Tutaona
mtandao si ulifungiwa au na wahusika walishugulikwa nini kingefanyika zaidi ya hapo..Mkuki kwa nguruwe ehhh za Kikwete mbona hukusema TCRA ila za bosi povu linakutoka.
Sasa mwanamke kama Flora Lyimo anabakwa kweli?
Nenda zako gesi inatoka na hautafanya lolote utaishia kubwabwaja kwenye keyboard kama Lumumba wenzakoMatola Umevurugwa sana, KIFARANGA,kwanin unapenda sana kutumia lugha za matusi?? Umerukwa na akili au??