Arusha MP says 'Dirty' phots are fake

Arusha MP says 'Dirty' phots are fake

kikwete mku wa nchi so kama TCRA haikufuatili zakwake na za yeyote yule kikwete ndio mtu wakwanza kulaumiwa.
Hata hivyo nashaur Lema wala asichukulie hili swala kwa jazba,asilifanye big issue. Afuate taratibu za kisheria na aendelee na maisha kwani wengi washafanyiwa hivyo..kina bush,clinton,blair nk.
Infact,hiyo inaonyesha how desparte CCMs are. Jana nimesikiliza kmkutano kao pale nyuma ya shekh amri Abeid stadium kata ya kaloleni, seriously,these guys are desparate..uzi ukazwe watasanda soon. Usipoona zile rangi naeza fikiri mkutano ni wa CDM mana kila baada ya neno linafuata CDM hakuna cha maana wanaongea.
kweli mkuu mie nilipita nikasikia yule dada9nafikiri shonza) akisema wanapicha chafu za lema, akiwaambia watu waende fc, mie nilikuwa napita na mishe zangu nilitaman nisikilize, ila ilikuwa wanazungumzia cdm tu
 
ingekuwa ZZK kudadadadadadek mngeandika humu mpaka basi.......................WATU WA PWANI tunamsemo wetu kuwa kwa mwali kukiliwa na kwa somo vile vile . M/mungu wa ajabu sana sana yaan hata jogooooo hajawika-ndio muone machungu ya kuchafuana, MLIDHANI DHAMBI HIYO ITAPOTEA HIVI HIVI?
 
I said it one day right here on JF that 'what goes around comes around'.Now it's your turn Hon. Lema to cry us a river.Tough luck!

Nashangaa analia nini hapa wakati yeye mwenyewe anawafanyia wenzake siasa chafu.na hiyo mipicha hata kama sijaiona nishaamini kama ni kweli.na Akili yake kwa jinsi inavyomtosha eti anazisambaza kwa wingi ili kujitetea kumbe ndio anajichafua.
An'way hawa ndio wabunge wa div 5 tulionao
 
tangu lini changudoa anabakwa???
huyo dada alitafuta umaarufu kupitia kwa lema lakini shetani alivo mbaya akatuonyesha tabia zake.
Mungu ni mwema kila kashfa wanazopewa wamtumainiao zinashindwa

lema si alibaka kule uingereza?? ile kesi yake imefikia wapi? ushahidi huu hapa alivyobaka
View attachment 121018
 
This is only a proof of the level that this game is being fought. Sio michezo ya kwenye internet cafes. Na ni wakati muafaka kupanga jeshi - kuitamba rasmi - hata kama ni ku-advocate regime change. Watu wakae KITAKO office za wahusika hadi watakapofukuzwa kazi.vinginvyo tutakuwa watu wa kulalamika tuuu!

kitendo cha tcra kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.tutaona
 
tangu lini changudoa anabakwa???
huyo dada alitafuta umaarufu kupitia kwa lema lakini shetani alivo mbaya akatuonyesha tabia zake.
Mungu ni mwema kila kashfa wanazopewa wamtumainiao zinashindwa

lema alivutiwa na huyo binti akambaka. lema ni janga kwa dada zetu
 
Ben.

Huu ujinga mbona rais wetu kaishafanyiwa sana hata siku moja haukulalamika kuhusu TCRA

Ritz,

Unaweza kuthibitisha hapa kuwa hata siku moja sijawahi kulalamika kuhusu hilo?
 
Last edited by a moderator:
Hamumwezi lema wajameni.wabaya wa wake mtajitahidi sana lakini hamfui dafu.Mulongo mwenyewe analijua hili,huu ni uhuni wa aina yake kuweka picha feki kwenye mtandao kisa siasa.??
 
Picha kama hiyo ilitengenezwa kwa Jakaya Kikwete mwanzoni mwa kipindi chake cha urais. Sote tunajua reaction ya dola ilivyokuwa na namna mamilioni ya walipa kodi yalivyotumika kuwasaka walioipost mitandaoni. Ilivyoletwa hapa nakumbuka wengi walilamba BAN za maisha.

Sasa imerudi kwa Lema, TCRA wamefumba macho, ngoja iwekwe ya Bilal akimtafuna Kikwete ndipo watatia akili...

Ni watu wajinga wanaoshabikia huu upuuzi.
 
Ipo siku mtakuja kutwambia ziara za kila mara za rais wenu kwenye Ikulu za wazungu.
 
mbna mawasiliann ya zitto yalipowekwa hadharani hukusema haya? Ben tuache hzi double standards,hazitusaidii chochote.
Anachozungumza Ben si kwenye hii ishu tu- gutter politics ni pamoja na hizo ulizotaja! Kuna haja ya wamiliki wa tovuti, wavuti kuwa makini na chini ya sheria wanasababisha madhara makubwa sana kwenye afya ya miili na akili za watu! Ni sawa na kuwalisha watu madawa/vyakula vyenye sumu!
 
Back
Top Bottom