kikwete mku wa nchi so kama TCRA haikufuatili zakwake na za yeyote yule kikwete ndio mtu wakwanza kulaumiwa.
Hata hivyo nashaur Lema wala asichukulie hili swala kwa jazba,asilifanye big issue. Afuate taratibu za kisheria na aendelee na maisha kwani wengi washafanyiwa hivyo..kina bush,clinton,blair nk.
Infact,hiyo inaonyesha how desparte CCMs are. Jana nimesikiliza kmkutano kao pale nyuma ya shekh amri Abeid stadium kata ya kaloleni, seriously,these guys are desparate..uzi ukazwe watasanda soon. Usipoona zile rangi naeza fikiri mkutano ni wa CDM mana kila baada ya neno linafuata CDM hakuna cha maana wanaongea.