Kiingereza ni lugha ngeni, tuache kuitumia kama inatutesa...vinginevyo tunadhalilika bure mbele za jamii!Kweli kuna wa2 wajinga waacha shughuli zao za msingi eti lema who is?
Mkuu heading na post zimenichanganya let be specific brother!
kama vipi tuingie barabarani haraka! OCD wa Arusha ni Kunyanzi la kutupwa, anafanya kazi ya Mukama!
Katibu wa CHADEMA (Ndg. Amani), Nasary aliekuwa mgombea wa ubunge Arumeru na mwenyekiti wa Arusha Development Fund( ndg. Efram) wameshafanya mahojioano na radio station karibu zote hapa Arusha mfano (MJ, Sunrise FM, Radio 5...) wakielezea kwanini lema kachukua maamzi hayo na Mwenyekiti ADF alielezea maendeleo na mafanikio ya ahadi alizo zitoa Lema wakati wa kampeni kwani wao ndiyo walio kabidhiwa utekelezaji wa ahadi hizo.....Nafarijika kusikia redio zinausoma maana kuna mtu jana alisema ni watanzania wachache sana walio na habari ya waraka wa Lema eti hawafiki hata 1/40 nikamuuliza anajua 1/40 ya watanzania ni ngapi hajanijibu hadi sasa.
Mimi ni mwanachama wa CDM..sipendi kusikia tunavyichukuliwa na other parties. kwanini tuendelee kuitwa watu wa vurugu, mambumbumbu, tulioishiwa sera?inakuhusu?
hapa umeongea cha maana sana! umefikisha ujumbe vizuriAaah waaapiii nani agome goma mwenyewe bana hapa kila mtu ndo anatafuta ugali wa kila siku tugome tukale wapi tukaibe!!!
Umeshafatilia siasa za Arusha kuanzia mwaka jana mwezi wa kumi?Mimi ni mwanachama wa CDM..sipendi kusikia tunavyichukuliwa na other parties. kwanini tuendelee kuitwa watu wa vurugu, mambumbumbu, tulioishiwa sera?
Tubadilike..hata kama tuna machungu sana na nchi yetu, its better tutumie means nzuri na zenye manufaa kuleta ukombozi. Mbona Malawi wameweza, kwanini sisi tushindwe?
kweli aisee alwatani..thanx for this usefull commentDalili za majobless kuzidi nchini... Maana mjasiriamali wa kweli anapima impact ya kila jambo kwenye shughuli zake.
Ndum limezidi sana Arusha... watu wanavuta ndum kuliko fegi...matokeo yake...ndo haya!
Tanzania ina jeshi la kuhitaji NATO? mkiwa mnakunywa bia za bure za jeshi huwa mnadanganyana hivyo pole, hakuna haja ya kuwasumbua kina Nicolas Sarkozy nyie ni wa mawe tu, vibaraka wakubwa.Mkuu kwa hiyo mtasaidiwa na Nato?
Ninazifuatilia sana...ndio maana mpaka sasa hivi nimeacha kazi zangu nipo online nazifuatiliaUmeshafatilia siasa za Arusha kuanzia mwaka jana mwezi wa kumi?
Nakubaliana na wewe,kuna ganzi flani hivi huwa inawaingia kwenye ubongo!Inawezekana kabisa mtu ukishakuwa Madarakani uwezo wa kufikiri unapungua, just thinking wide, maana dalili zoote zinaonekana lakini wapi!!, macho yao hayaoni, masikio yao hayasikii, something like Gadaffi type.
Hizi dharau hata gadafi alizionyesha lakini mwisho wa siku alisokomezwa kisu kwenye masaburi yake kabla hajafanyiwa kweli.....Dalili za majobless kuzidi nchini... Maana mjasiriamali wa kweli anapima impact ya kila jambo kwenye shughuli zake.
Ndum limezidi sana Arusha... watu wanavuta ndum kuliko fegi...matokeo yake...ndo haya!