Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Jamani niko nyuma sana na matukio ilo la kuwaita Panya wapiga kura ilikuwa wapi jamani
Ila kwa CCM na maaskali wao sishangai bse wananchi huwatumia mwaka wa uchaguzi tuu baada ya hapo huwatosa kama ganda la muwa.
Na huyo anaesema huo mgomo utaadhiri watu wa chini,kumbuka watu wa chini ndo wanaofanya kazi kampuni za wakubwa na msg itakuwa sent!
Proceed Arusha the rest will follow!
 
Hao wanaogoma wanamgomea nani? Halafu wewe Crashwise, acha kuwasemea watu wa Arusha kama kugoma goma peke yako na Toyo yako
Nimewasemea unaimanisha nini?, sina toyo sina daladala lakini nitaungana kwenye mgomo wa kesho.....
 
Ilikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....

=======

Sinto shangaa watu hawa kugoma, kwani siku zote watu wa arusha wamekuwa wanashikwa masikio na fikra zao ni changa
 
Walivyo panga kama kutatokea mwenye kiherehere akaingiza gari barabarani basi watashusha vioo vyote...ni swala la kusubili tu

Hapo watu wakisema CDM ni chama cha fujo mtakataa ? hadhi mnajishushia wenyewe msitafute mchawi
 
Jamani huko Arusha maneno hayo ni ya kweli?maana tusije tukaombea kitu ambacho kumbe ninyi mlioko huko hakipo,ki msingi naomba sana zoezi hilo lifanikiwe,na kama likiwezekana kwa mji mzima daladal na toyo zote zikagoma basi mjue ya kwamba Arusha watakuwa waemefungua njia ya ukombozi wa taifa hili maana haijawahi kutokea huduma zikasitishwa tu kwa sababu ya kupigania haki na hasa kwa kumuunga mkono kiongozi wa upinzani kwa lengo la kukomesha udahalimu na uonevu unaofanywa na polisi kwa idhini ya CCM.
Tunawaombea mgomo mwema wenye lengo la kuikomboa Tanzania,tuko pamoja na ingependeza ungeenea nchi nzima,ila siku yaja
 
Boda boda wanatakiwa kupeleka hesabu jioni hiyo itakuwa biashara kichaa

Wamiliki wanataka pesa, maderava wanataka pesa..

Wanataka kuleta unemployment kwa vijana bure..
 
kwanini wanachadema tusitafute njia nzuri ya kupata suluhisho la hili jambo? tunataka kupoteza tena wenzetu? Tusipende kumwaga damu kwa jambo lisilokuwa na Msingi. kama Mh Lema kaamua kwenda gerezani, tumwache apumzike huko, sisi huku tuendelee kukijenga chama!
 
Daladala na bodaboda zitakazo goma hapo kesho haziwezi kunyang'anywa leseni za biashara?
 
Serikal i ingemwajibisha tu huyo mwanadamu anayewaita wenziwe PANYA ili kuepusha shari na hasara. Au hilo la panya ni zuga tu kuna lingine!?

serikali ya ccm haijui madhara ya kuwadharau wenye nchi, ingekuwa makini, siku ile ocd arusha alipotuhumiwa kuwaita wenyenchi panya, wangempokonya kazi na haraka kuwaomba radhi wenye nchi, tazama sasa wenye nchi wanajipanga kutetea UTU wao, bado ujinga wa serikali ccm hawatauona uhalali wa madai ya wenye nchi, watataka kumlinda mjinga mmoja aliyepewa jukumu kuwakilisha ulevi wa ccm. NAWAUNGA MKONO WAPIGANIA HAKI NA UTU WETU. kama vipi moshi pachemke ili watokao ccp wakome.
 
Jamaa Wameanza kuhaha, naona zile pira za CCP zinapanda town kwa pupa... Kipindi hii wakaazime na polisi toka nchi jirani lakini wapi,...
Panya wamechafukwa ile mbaya. Zuberi tafuta Exile brother usiokotwe kwenye makalavati .
Makalavati ya bongo hasa ya hapo A-town sijui yanahali gani labda ya jiji la Bwagamoyo Sirte yetu tutakapomalizia.
 
NJIA NZURI KAMA IPI??
kwanini wanachadema tusitafute njia nzuri ya kupata suluhisho la hili jambo? tunataka kupoteza tena wenzetu? Tusipende kumwaga damu kwa jambo lisilokuwa na Msingi. kama Mh Lema kaamua kwenda gerezani, tumwache apumzike huko, sisi huku tuendelee kukijenga chama![/QUUTE]
 
Mkuu juzi daladala ziligoma watu waliteseka lakini jaama walikomaa mpaka haki ikatendeka...kuna wakati inabidi uteseke ili ufaidi baadae...hata wewe wakati unanunua hicho kinoah chako lazima kwa njia moja ama nyingi uliteseka yaani kuna vitu ulikuwa una vikosa kwa sababu ulikuwa na lengo la kununua Noah lakini leo unafaidi.....

i second it.

jamaa anataka mtu afaidi yai moja tu leo badala ya kuliacha litotolewe kifaranga cha kuleta mayai mengi milele
 
Mkuu nimetoa copy nyingi sana na nimewasambazia machalii wengi sana!
Asante sana.....leo kila mitaani nimeshangaa sana watu wako vikundi wana fatilia JF na kuusoma walaka wa Lema nikaona kuna haja ya kuuprint angalau kiasi na radio station za hapa Arusha wameusoma kuanzia jana jioni na leo Asubuhi naamini mpaka sasa mwana- Arusha(Mjini) ambae atakuwa hajui kinachoendelea basi ni wachache sana........
 
Daladala na bodaboda zitakazo goma hapo kesho haziwezi kunyang'anywa leseni za biashara?
Harafu walete zingine kutoka mikoani zitatembelea barabara ipi labda kila daladala na FFU angalau watano...
 
Back
Top Bottom