Hapo Jabulan near to play group unaona daladala kwa darubini au unazani tupo ushagoo??
Haya maneno ni ya ujenzi, ni kweli kabisa kwani Lema nani kampeleka gerezani? Kuna vitu vya msingi watu wanaweza kuungana kufanya mgomo..
Tugome kupinga kushuka kwa shilingi yetu, tugome hospitali hazina madawa, tugome kupanda kwa bidhaa..
Sio tugome sababu Lema kakataa kukubali dhamana ambayo ni haki ya mshtakiwa
Hiyo route ya Sekei imeanzishwa lini? Hata route huzijui na ina mstari wa rangi gani?Napata kinywaji Jabulani Park muda huu daladala za Sekei zinafanyakazi kama kawaida zipo nne kwenye foleni zina subiri abiria hakuna polisi hata bmmoja.
Hiyo route ya Sekei imeanzishwa lini? Hata route huzijui na ina mstari wa rangi gani?
Ngongo Masaburi,
Wanaonijua kimaandishi humu wapo wachache na ni wakongwe wa kuchangia kwenye internet kupitia forums mbalimbali. Angalia nilijiunga lini humu.
Heshima yangu ipo pale pale, mie sio Magwanda wala magamba. Kwa ukweli sizichukii zote na sizipendi pia hivyo vyama.
Mie naamini kwenye UTAWALA WA WATU. Kwakua huelewi basi angalia mfano wa utawala wa Kiswiss.
Wewe ndo unahangaika.
Wewe akili zako ndogo na kwasababu wewe ni gamba la CCM,huoni dhuruma inayofanywa na serikali yako ya CCM kuwagandamiza wale wote ambao wanawatetea wananchi na kuwaelimisha juu ya dhuruma za CCM na uongozi mbovu ambao unasababisha hata maisha kuwa magumu kama hayo unayoyasema ya kupanda kwa dola,bidhaa kuwa juu,hayo yote yanasababishwa na dhuruma mbaya ya CCM,Lazima watu wajitoe muhanga na wawe mfano kama LEMA ili waweza kuandamana hata kupinga kupanda kwa dola na kuwa na hospitali mbovu,na swala la msingi haki ni kitu muhimu sana why iwe Arusha kila siku watu wanaonewa,Arusha CCM inalazimisha hatakiwi hata kidogo na wananchi.Maneno mazito sana Mkuu ritz.
Ngongo asubuhi ulikuwa unabisha kwamba Arusha hakuna mgomo je sasa unakubali kwamba kulikuwa na mgomo?Hii move ilitakiwa kuanza asubuhi wameacha wapiga debe wafanye watakavyo.
Nia sio kulazimisha kuwa mgomo upo bali ni kuweka wazi ukiukwaji wa haki na uenevu thidi ya binadamu unaofanywa na dola Arusha mjini, nina uhakika hata jamii za kimataifa zimemulika dhamira ya mgomo huu wa masaa kadhaa Arusha.Kwa hiyo unataka kulazimisha Arusha kuna mgomo?
Dedam; Ritz na Ngongo mnaipenda CCM kupita nafsi zenu. Januari 5; 2011 Afande Zuberi aliamuru askari wawatwange raia risasi za moto na kuua watu. Iwapo OCD Zuberi anasimamia utawala wa sheria, mbona hakuwakamata wauwaji au kufanya uchunguzi? Aombe 2015 kusitokeee mabadiliko maana atajiotwanga risasi ya kichwa kabla ya kukamatwa kujibu madudu yake anayoendelea kuyatekeleza kufurahisha "wachache" kwa manufaa ya "wachache". Freedom is coming soon......Amandlaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ngongo asubuhi ulikuwa unabisha kwamba Arusha hakuna mgomo je sasa unakubali kwamba kulikuwa na mgomo?
Ngongo unakiherehere kama kuku! Kumbe una akili za kuunga unga! umeshasahau kuwa ulipost thread kutuhabarisha kuwa ule Mgomo wa Dala dala, taxi na bodaboda Umeshindwa kufanyika kama ilivyotarajiwa?
Unaboa sana!
Napendekeza Arusha ijitenge na Tanzania! Ni bora Tujitangazie Uhuru wetu tumechoka kunyanyaswa!
Nia sio kulazimisha kuwa mgomo upo bali ni kuweka wazi ukiukwaji wa haki na uenevu thidi ya binadamu unaofanywa na dola Arusha mjini, nina uhakika hata jamii za kimataifa zimemulika dhamira ya mgomo huu wa masaa kadhaa Arusha.
Ngongo,mimi nilidhani bifu lako ni kwa Lema tu,kumbe ni kwa harakati nzima za kutaka mabadiliko?Bahati mbaya hunijui sikujui sijawahi katika maisha yangu yote kuishabikia CCM lakini shujaa wako Lema aliwahi kufanya hivyo huko Sombetini uliza wajuzi wa mambo watakwambia.OCD Zuberi anatekeleza majukumu yake ya kazi kama kakosea Lema alikuwa na nafasi kubwa kusahihisha makosa ya afande Zuberi mahakamani shida hiko wapi ?.
Dedam; Ritz na Ngongo mnaipenda CCM kupita nafsi zenu.
Afadhali tungeshinikiza mashangingi ya serekali yasionekane barabarani kuliko kukimbilia usafiri wa wanyonge.
.
Bahati mbaya hunijui sikujui sijawahi katika maisha yangu yote kuishabikia CCM lakini shujaa wako Lema aliwahi kufanya hivyo huko Sombetini uliza wajuzi wa mambo watakwambia.OCD Zuberi anatekeleza majukumu yake ya kazi kama kakosea Lema alikuwa na nafasi kubwa kusahihisha makosa ya afande Zuberi mahakamani shida hiko wapi ?.