Aaah! kumbe kamanda
alijipeleka mwenyewe halafu
akakataa dhamana! Kumbe
basi mgomo uahirishwe maana
kugoma ni kumpuuza,
kumdhalilisha na kumpinga
kamanda wetu.
Hawana kazi wakikua wataacha..ningekuwa polisi ningewaruhusu waandamana jioni watalala
Aaah! kumbe kamanda
alijipeleka mwenyewe halafu
akakataa dhamana! Kumbe
basi mgomo uahirishwe maana
kugoma ni kumpuuza,
kumdhalilisha na kumpinga
kamanda wetu.
ukizaliwa na ukakuta wazazi wako wnaafanya kazi ya utumwa hakika hutajua kama wewe nza wazaz wako mko utumwani....mpaka aje mtu mwingine to sehemu nyingine akufafanulina na kukuonyesha namna gani mko utumwani....na ndio maana nasema mambo mengine ni next level kwa watu kama wewe...
Asante..lakini mimi nilitoa tu ushauri kama mkereketwa wa chamamwezi bado mchanga na huu ndio mda wa watu wainana yako kuanguka kifafa......
Hatuna haja ya kuwatukana wenzetu wa CCM, tustiki na shida zetu. Tujifunze pia kuwa na lugha nzuriPeleka masaburi yako kwa mabasha wa CCM sio kwetu. Weka kadi yako ya Uanachama hapa usilete us%^nge
Wewe ndio umeona hivyo! Big upHuu ni upuuzi perse.
Asante..lakini mimi nilitoa tu ushauri kama mkereketwa wa chama
Huyo anayejiita facebook...Ana maana ukiwa na mgonjwa ndani ndio maisha yanakoma....zitTo mwenyewe huko aliko anaandika kutupa taarifa na anajuwa watanzania na Chadema wanampenda ..msitumie kuugua kwa chadema kisiasa....
QUOTE]
Huyo facebook anawapotezea muda. Kwa maoni yake alitaka watu waache shughuli zao zote na waingie kwenye nyumba za ibada kumuombea Zitto? Kwani huwezi kusali/kuomba huku ukiwa unatembea n.k? Mbona naona waislam wengi tu barabarani na tasbihi?
OCD hana shida kabisa, anafanya kazi yake. Tuangalie namna ya kumwelimisha Lema awe na uelewa ku kudeal na vyombo vya dola.upupu sio wa lema wewe punga ni wa Ocd mjinga aliyesababisha yote hayo.
Okay, Umeeleweka sasa!
Akishapona je?
Hivi hizo pikipiki ni mali ya Chadema? hawa jamaa watakaogoma nadhani watakuwa ni wahuni tu na huo mgomo sijui kama utakuwa na madhara yoyote kwa serikali
Hatuna haja ya kuwatukana wenzetu wa CCM, tustiki na shida zetu. Tujifunze pia kuwa na lugha nzuri
Wewe ndio umeona hivyo! Big up
Asante. Naona leo ndio nimejiunga na Jamiiforums.Wale wale mliopigwa ban leo kwa matusi mmeanza kuja na ID zingine kwa kujifanywa eti mwana Chadema fake.
Tuneshapoteza ndugu zetu kwa sababu ya maamuzi ambayo sisi wenyewe tulijona kuwa siyo sahihi. Kwanini tena tuendelee kuwaumiza wengine? Halafu wengi mnaojidai kuhamasisha mgomo, ni watu wa maofisini na kesho mtakuwa mnaomba updates ya kinachojiri huko. yaelekea mnapenda sana kuona watanzania wenzetu wakiumia.Usijisalimishe Chadema hatutaki mwanachama mbumbumbu na mwoga kama wewe kifupi hatukuhitaji utatuambukiza woga.
Dalili za majobless kuzidi nchini... Maana mjasiriamali wa kweli anapima impact ya kila jambo kwenye shughuli zake.
Ndum limezidi sana Arusha... watu wanavuta ndum kuliko fegi...matokeo yake...ndo haya!
Kwa sasa kama kweli hawa jamaa watagoma naona maendeleo yataanza kupatikana, Kazeni buti chaliiii zangu ili msela aendelee kuwa na amani.
Nitolee uchafu wako wa kijinga.Aaah! kumbe kamanda
alijipeleka mwenyewe halafu
akakataa dhamana! Kumbe
basi mgomo uahirishwe maana
kugoma ni kumpuuza,
kumdhalilisha na kumpinga
kamanda wetu.
Na wewe unaona ni sahihi watu kugoma tuende kumlili mtu aliyejipeleka gerezani mwenyewe?Huyo facebook anawapotezea muda. Kwa maoni yake alitaka watu waache shughuli zao zote na waingie kwenye nyumba za ibada kumuombea Zitto? Kwani huwezi kusali/kuomba huku ukiwa unatembea n.k? Mbona naona waislam wengi tu barabarani na tasbihi?
OCD hana shida kabisa, anafanya kazi yake. Tuangalie namna ya kumwelimisha Lema awe na uelewa ku kudeal na vyombo vya dola.
Akishapona tutakuwa na nguvu mpya..Zitto ana influence kubwa sana ndani ya Chadema na Tanzania kwa ujumla.
Na wewe unaona ni sahihi watu kugoma tuende kumlili mtu aliyejipeleka gerezani mwenyewe?
We have to admit kwa hili Lema amechemka
Nakushauri achana na CDM nenda CCM kwa wenye amani na utulivu na fikra kama zako za kimasaburi