hahahaha, leo patakuwa hapatoshi, kila taarifa ya kizandiki mtaweka, ila nikuhakikishie mleta mada, Mchicha hata ukiwa na miaka mia, kamwe hauwezi kulingana na mbuyu.
Where by;
CHADEMA = Mchicha.
CCM = Mbuyu.
Kwa uelewa wako mtu huwa anasikiliza kwa kutumia macho au masikio?Katika hali yakushangaza mwenyekiti wa chadema amekumbana na fedheha ya mwaka baada yakushuka na chopa kwenye kata ya Dongibesh na wananchi badala yakumsikiliza wakawa bize kuiangalia chopa hata baadada ya mbowe kupanda kwenye jukwaa kuhutubia,,mbowe alijaribu kuwasihi watu wamsikilize bila mafanikio mwishowe aliamua kushusha matusi kwa Nape akimlaumu kuhijumu chadema,,!!mbowe ameondoka muda huu kuelekea Arusha,,!!
Green gurd ya ccm leo kwenye kata ya themi arusha wamewateka makanda wa chadema wamewapiga mpaka sasa hivi wapo icu mount meru hospital wanatapika damu.
Kuanzia sasa pikipiki kama sita zile rodia eneo la hiyo club... na hata nzi anaetoka afutatiliwe...