Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

wanaangalia helkopta na kusikiliza maneno toka kwa kamanda!! Wa2 wanaskia kwa ku2mia maskio! RUDI STD 4 KAJIFUNZE MILANGO YA FAHAMU YA BINADAM
 
Habari tulizozipata muda huu kutoka kwa kamanda anaefanya kazi na CCM,kuna masanduku ya kura ambayo yameingizwa leo club africo.Chadema tuna sema kesho patachimbika ole wenu.

Vipi yule mlemavu wa sura bado yupo Arusha?
 
Hivi siku hizi petroli haziuzwi Arusha?
 
anasema kata ya themi pekee yake ccm wamemilikisha kilitex,Arifi Dawa, emuko,baby food, kitex,tanzania oxgen anasema kutoka kata ya themi peke yake zaidi ya viwanda kumi na mbili vimeuliwa na CCM, watanzania tusicheke na kima...mwalimu nyerere alifanya kazi kupya kuvilinda viwanda akiwa anaiandaa nchi hii kujitegemea lakini leo hakuna tunaloweza kujivunia hata kenya wametupita...tuna tanzanite,kilimanjaro....nimekaanao nawafahamu vizuri sana ni wahuni, majambazi,majangili...
 
Mungu amtie nguvu kamanda apone na kurudi katika kuliokoa jahazi hili.
 
Nipo hapa hospitali ya mkoa ya Mount Meru,makamanda wawili wa CHADEMA wameshushwa hapa wakiwa wameumia vibaya sana baada ya gari yao kuvamiwa na CCM eneo la Lemara,makamanda hao wameshushwa hapa na gari ya polisi baada ya kuokolewa,wapo hoi kweli.

Habari zinasema mwenyekiti wa CCM kata ya Lemara ndugu Betuel ndiye anayehusika.
ccm ni hatari kuliko ukoma!
 
lema anasimama...anasema vicent nyerere anamsemo wali wa kushiba unauona kwenye sahani...kwenye kata zote tulizo zunguka, tumekutana na vikaa vya ukoo..
 
Kuendelea kuongozwa na ccm kwa taifa letu ni kutoitendea haki nchi yetu, ccm haifai, haifai!
 
Dakika kadha zijazo nitakuwa ndani ya Sowet6 tayari kuungana na makanda wote wa hapa A town.
Crashwise Mungi na wengine wote hakika tu pamoja na nilikuwa mbali ila nimesitisha safari baada ya kukumbuka hili.
 
Last edited by a moderator:
DSC05529.JPG
Mkutano unaendelee..Mbowe bado haja fika watu ni wengi sana...
 
View attachment 97708
mkutano unaendelee..mbowe bado haja fika watu ni wengi sana...

peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee......... Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kamata mwizi meeeeeeeeeeeeeeeeennnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn, peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

majambazi sisemu zizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
r.i. P masisiemu............... Shetaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kawapenda zaidi........
 
Lema anawaambia watu wa Arusha msikubali kuonewa hata kuruta msikubali kuonewa na mabosi wenu mmezaliwa siku moja mtakufa siku moja, polisi wengi ni chadema wana waonea chadema kwa kuwashinikizwa na wakubwa wao....
 
Dakika kadha zijazo nitakuwa ndani ya Sowet6 tayari kuungana na makanda wote wa hapa A town.
Crashwise Mungi na wengine wote hakika tu pamoja na nilikuwa mbali ila nimesitisha safari baada ya kukumbuka hili.
Kamanda Mbowe ndiyo anatua uwanja wa soweto jijini Arusha...
 
CHADEMA WANAANZA KUWEWESEKA,MUTAJUTA KUFUKUZA MADIWANI,UMELIKOROGA MWIZI WA MAGARI,LAZIMA ULINYWE,nawatakia uchaguzi mwema.
 
Back
Top Bottom