Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

ahaa! ucheke una mbavu??
kesho mtatia akili matokeo yatakapotoka....................
hata kipindi kilichopita zilipofanyika chaguzi kwenye kata mlisema haya haya na matokeo yakawafanya mkafyata sasa mwasubiri yajirudie tena

unajivunia ushindi wa dhuluma?
 
Picha wananchi kwenye mkutano wa chadema wakiwasubiri viongozi wa kitaifa kuja kuitimisha kampeni. uploadfromtaptalk1371298029031.jpg
 
Crashwise endelea na updates za kimaandishi halafu mpatie kamanda mwingine awe anatupia picha ,vitu viende sambamba
 
Last edited by a moderator:
Kila taarifa ni uhalifu unaofanywa na CCM,kulikoni CCM?mmeichoka amani ya njaa na umasikini sio
 
Acha kutuzalilisha wambulu wewe au hukuwepo mkutanoni nini? Mh Mbowe kamwaga Rai za ukweli hapa.
 
sada tuko elerai sec tunaelekea kaloleni
 
Uwongo sidhani kama kuna mtu qtayeacha kusikiliza sera za cdm kisa ni helcopta) maana cd
 
Katika hali yakushangaza mwenyekiti wa chadema amekumbana na fedheha ya mwaka baada yakushuka na chopa kwenye kata ya Dongibesh na wananchi badala yakumsikiliza wakawa bize kuiangalia chopa hata baadada ya mbowe kupanda kwenye jukwaa kuhutubia,,mbowe alijaribu kuwasihi watu wamsikilize bila mafanikio mwishowe aliamua kushusha matusi kwa Nape akimlaumu kuhijumu chadema,,!!mbowe ameondoka muda huu kuelekea Arusha,,!!

leo mbowe atatumia zaidi ya milioni 200 kuzunguka na hiyo helikopta yake, pesa ambazo zingeweza kujenga majiko ya shule hai
 
hiyo ni dharau ya ccm dhidi ya wambulu!!kule ndege zinatua kila siku kwenye hospital ya Haydom,mashamba ya ngano etc.Wambulu washikisheni adabu CCM kesho kwenye chaguzi
 
tuko mianzini kiukweli kata zote nimepita na sioni ishara ya uwrpo wa ccm Arusha..
 
tumeshaingia kaloleni kwa mbali nauona uwanja umenona kweli kweli cc nape, mwigulu
 
Nipo hapa hospitali ya mkoa ya Mount Meru,makamanda wawili wa CHADEMA wameshushwa hapa wakiwa wameumia vibaya sana baada ya gari yao kuvamiwa na CCM eneo la Lemara,makamanda hao wameshushwa hapa na gari ya polisi baada ya kuokolewa,wapo hoi kweli.

Habari zinasema mwenyekiti wa CCM kata ya Lemara ndugu Betuel ndiye anayehusika.
 
Back
Top Bottom