Ukweli mabadiliko yanakuja na hii rasimu CCM itabidi wawe macho hii dharau ya Nape na Mwigulu wakiiendekeza yatawakuta ya Kaunda wa Zambia! Jamaa hawa wanapaa kweli,maana mikoa ya Kusini CCM wahesabu maumivu! unless wafanye miujiza ya MUSA kule bahari ya shamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.