Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

Kamanda webiro kakatwakatwa mapanga yuko hospital ya mount meru arusha mahututi na gari lake laaribiwa vibaya na kuibiwa kila kitu.
 
Bila shaka hata kwa pikipiki watazifikia hizo kata hata kama wakizuia kwenda kwa magari
 
teeleze vizur coz leo hata mtuakifa kwa ajar mtasema gari ya ccm
 
hahahaha, leo patakuwa hapatoshi, kila taarifa ya kizandiki mtaweka, ila nikuhakikishie mleta mada, Mchicha hata ukiwa na miaka mia, kamwe hauwezi kulingana na mbuyu.

Where by;

CHADEMA = Mchicha.

CCM = Mbuyu.
 
hahahaha itabidi na mimi ni cheke kwa upumbavu ulioandika eti ccm inawakimbiza sana labda vyama vingine ni sio chadema

ahaa! ucheke una mbavu??
kesho mtatia akili matokeo yatakapotoka....................
hata kipindi kilichopita zilipofanyika chaguzi kwenye kata mlisema haya haya na matokeo yakawafanya mkafyata sasa mwasubiri yajirudie tena
 
Katika hali yakushangaza mwenyekiti wa chadema amekumbana na fedheha ya mwaka baada yakushuka na chopa kwenye kata ya Dongibesh na wananchi badala yakumsikiliza wakawa bize kuiangalia chopa hata baadada ya mbowe kupanda kwenye jukwaa kuhutubia,,mbowe alijaribu kuwasihi watu wamsikilize bila mafanikio mwishowe aliamua kushusha matusi kwa Nape akimlaumu kuhijumu chadema,,!!mbowe ameondoka muda huu kuelekea Arusha,,!!
 
Ulidhamiria kuleta srid hii toka asbh ila nyie magamba mmekwisha.
 
Mkuu Crashwise niko eneo la Soweto, namsubiri Mungi tuzungukie kata zote. Then turudi hapa Soweto kwa updates.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom