Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

tuko maeneo ya sakina...

Mi nipo kaloleni soweto watu niwengi kweli kweli na viongozi bado hawajafika watu wanazidi kumiminika. uploadfromtaptalk1371299298057.jpg uploadfromtaptalk1371299321467.jpg uploadfromtaptalk1371299345346.jpg
 
msafara ni mkubwa sana tunaelekea bwawa la mavi...

Mkutano wa Themi unafanyika wapi na saa ngapi? Baada ya Themi mkutano utakuwa Kata gani na viwanja gani. Leo lazima nihudhurie mkutano lau mmoja.
 
Green gurd ya ccm leo kwenye kata ya themi arusha wamewateka makanda wa chadema wamewapiga mpaka sasa hivi wapo icu mount meru hospital wanatapika damu.
 
hizi siasa za chuki na kikatili kamwe hazitaweza kuiokoa CCM kutoka kwenye anguko lake
 
JamiiForums inakaribia kua chombo cha Propaganda za vyama
 
Firstaid ya chizi ni kichapo hongereni makada kwa kulinda amani na utulivu
 
Habari tulizozipata muda huu kutoka kwa kamanda anaefanya kazi na CCM,kuna masanduku ya kura ambayo yameingizwa leo club africo.Chadema tuna sema kesho patachimbika ole wenu.
 
Natamani nimjue huyu mngese baridi! Mbulu hawawezi kushangaa helkopta
 
Hii yote ni maendeleo hafifu ya miaka zaidi ya 50 ya uhuru.
Utawala wa CCM mpaka lei hii wananchi wake bado wapo gizani.
Siyo jambo zuri watu kushangaa chopa.
 
CCM wameichoka amani!!!wanataka kuiingiza nchi katika machafuko kuliko kushindwa kwa kura
 
nimepita mkutano wa ccm hapa ilboru yaani hata kikao cha ubarikio cha mtoto wangu kilikuwa na watu wengi kifupi ni kama watu 40
 
Kuanzia sasa pikipiki kama sita zile doria eneo la hiyo club... na hata nzi anaetoka afutatiliwe...
 
MIMI NAWAULIZA SISIEMU KILA SIKU WANAHUBIRI UKANDA NA UKABILA.. NA KILA SIKU WAKINA NAPE NA MZEE WAGOMBE (WASIRA) NA LUMUBA et al...WANASEMA CHADEMA NI CHAMA CHA KASKAZINI.. SASA WAO HUKO WANAFANYA NINI LEO... NA SIJASIKIA KATIKA MIKUTANO YAO HUKO ARUSHA WAKISEMA TENA HAYO MANENO... LAKINI WAKITOKA HUKO TENA WATAANZA OOOH CHADEMA CHAMA CHA UKANDA MARA CHAMA CHA WACHAGA.. SIJUI HATA MBEYA NI WACHAGA TU WAMEJAA AU MWANZA PIA NI KWA WACHAGA...... SISIEMU NI WATU WA HOVYO SANA,,.. WAMESHINDWA KUTEKELEZA AHADI ZAO ZAIDI YA 60 WALIZOZITOA 2010 .. WANAISHIA KUPANDIKIZA CHUKI KWA WANANCHI WANASHINDWA KUJUA KILA CHENYE MWANZO KINA MWISHO... R. I P. MASHETANI (SISEMU)
 
Ili iweje, au bdae Mwigulu aje kutembea nao majukwaani aseme CDM ndiyo waliwapiga
 
Green gurd ya ccm leo kwenye kata ya themi arusha wamewateka makanda wa chadema wamewapiga mpaka sasa hivi wapo icu mount meru hospital wanatapika damu.
Hivi inakuwaje mpaka CDM au wapinzani wanapigwa kirahisi rahisi tu kwani CDM wanashindwa nini kupiga makada wa Ccm?Kwenye uchaguzi hata pinda alisema bungeni kwamba matusi na ngumi vinaruhusiwa sasa CDM inakuwaje mnang'aa macho?Kamata mwigulu piga k.i.s.u,kama shonza pachika kitu,kama Nape mnalibeari hapo watashika adabu but poa hata hivyo ukiona hayo Ccm inamaliza Enzi maana hakuna utawala uliowahi kuzuia upinzani kwa mbinu za kupiga makada.
 
Hizo ndio mbinu zao. Mbaya zaidi wanayafanya hayo mchana kweupe!
 
Back
Top Bottom