gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,715
inawakimbiza vip? wenye chama wanahaha wewe mpiga debe inasifia! au ilimradi mkono uingie kimywani?
hivi wewe si bora mie mkono unaingia kinywani kuliko wewe ambaye unaachwa juani pangu pakavu??
viongozi wana kazi ya kula pesa sh mia mia za wanazokusanya kwenye mikutano kwa kisingizio cha M4C