Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

hahahahah! chadema bana,
kumbe Mbowe ni kamanda wa anga sio??.....................
ila CCM inawakimbiza sana

Mtoto halali na pesa,mtoto analala na mavi,tusikimbiane kesho jioni tukutane hapa hapa.mandevu upoooooo! Msalimie shem j.s
 
Tuko pamoja,
Muda huu kwenye ngome ya Chadema Maasai Boma gari kubwa la matangazo kimesha tia tumu watu wamejaa mbaya na gari linapuga nyimbo za ushindi.
Hakuna kulala mpaka magamba yalale.
 
uploadfromtaptalk1371282900357.jpg Magamba wameshikika muda huu lori limepita hapa na polisi hii ni kutisha wapiga kura au? Ila kwa A town hatuopi mabomu kwani tumeyamiss mbaya. Haitaibiwa kura hata moja
 
Nipo hapa kijenge naona gari ya nchemba imepita speed yaajabu sijui tena kuna shida gani hawa magamba hapa arusha wame kwish
ney
 
Presha zinapandaaa, presha hazishuuki.....!!! imekula kwao maccm
 
Asante,ila next time uje na hoja argumentative,kila mmoja wetu akiamua kuweka picha ya anachokiona mbele yake mijadala ya maana itakosa nafasi,asante.
 
Mimi pamoja na makamanda wa hapa jijini Arusha tutakuwa tunawaletea updates za matukio mbalimbali za mikutano ya chadema itakayofanyika leo ikiwa ni yakufunga kampeni za chaguzi ndogo za kata tano (Themi, Kimandolu, Elerai, makuyuni,Kaloleni) na baadae kwenye mkutano mkuu utakaofanyika uwanja wa soweto jijini Arusha, Freeman Mbowe kamanda wa anga akiwa ndiyo msemaji mkuu wa kuwazika CCM.. Mungi, Arushaone, sweetlady na makamanda wengine maana naamini Arusha inamakamanda wengi sana kuliko hata makao makuu ya JF, ninaomaba ushirikiano wenu tutakuwa pamoja...

I miss sweetlady
 
Last edited by a moderator:
Acha kunipiga mashushu mwana. Yaani kutumia simu ya mke wangu tu na wewe unapost hii. Ama kweli mchungaji hata ahubiri vipi atapata walengwa
 
Hata chai bado sijanywa naanza kukodolea Arusha macho from now mpaka kesho saa mbili jioni.......
 
Nimekutana na msafara wa magari 8 ya police na washawasha moja na fire maeneo ya shoprite wanaelekea njia ya kisongo hope ni katika kuwatisha watu

hiyo nadhani wanaenda kwa el si unajua anakimbizwa kwake?
 
hahahahah! chadema bana,
kumbe Mbowe ni kamanda wa anga sio??.....................
ila CCM inawakimbiza sana
inawakimbiza vip? wenye chama wanahaha wewe mpiga debe inasifia! au ilimradi mkono uingie kimywani?
 
Back
Top Bottom