Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
Mimi nijuavyo hali ni mbaya lakini si kihivyo mpaka kujeruhiwa askari polisi!ACHA UONGO WEWE.MIMI NIKO ARUSHA,MAMBO YAKO MURUA,BUSINESS AS USUAL. AM CDM Dam dam,lakini acha uongo kudanganya watu.
ACHA UONGO WEWE.MIMI NIKO ARUSHA,MAMBO YAKO MURUA,BUSINESS AS USUAL. AM CDM Dam dam,lakini acha uongo kudanganya watu.
Mnatuchanganya tuu...mara wamegoma, mara hawajagoma! Halafu kituko sasa watu wanaobishana wote washabiki wa CCM na Chadema....kwani huu mgomo unahusu chama? Watu wamedhani mbunge na wanaArusha hawatendewi haki na polisi....waendesha vifodi wakaamua kugoma kudemonstrate kwa polisi, Chadema na CCM wanaingia vipi? Au Chadema wanamiliki vifodi na CCM wanamiliki polisi? Upuuzi mtupu...
HII INIMEIPATA SASA HIVI TOKA KWA MDAU YUKO PALE MIANZINI
Wana JF huku Arusha hali ni tete baada ya madereva wa vifodi kugoma wakishinikiza mbunge wao aachiliwe huru na OCD Ars ahamishwe. Askari mmoja wa FFU kapigwa kajeruhiwa vibaya mno kwenye purukushani. Kituo cha vifodi kiko kitupu na barabarani hakuna kifodi hata kimoja, peoles are matching to and fro different areas.
Mzee wa Rula una hakika mbona nasikia kuna polisi mmoja kapigwa vibaya!!!!!!!!!!Birigita hali ya usafiri siyo mbaya, ni hao wanafunzi waliozagaa tena ni eneo moja na ukichunguza ni kila siku mida ya asubuhi kutokana na shida ya usafiri utawakuta wamejazana kituoni. Hadi saizi hakuna tukio lisilo la kawaida la kushitusha.
Si wabebe waty sasa na hayo magari yao?naona polisi wanazunguka na magari yako wakiwa tayari kwa lolote...
Mzee wa Rula una hakika mbona nasikia kuna polisi mmoja kapigwa vibaya!!!!!!!!!!
Asante, usije mjini.
mkuu ukweli ni kwamba mgomo upo ila madereva wamegawanyika ikumbukwe serikali tangu jana ilikuwa inajaribu kuuzima mgomo huu sasa kinachotoke ni makundi mawawili..ndiyo maana wengine wako barabarani na wengine wamegoma
Eheeee sasa hapa ndio safari moja inaanzisha na nyingine....umeme hakuna, maji hakuna, hospitali zipo India, Shilingi inazidi kuingia kaburini (nasikia ipo ICU) Mwanza moto, Arusha Moto, next?????
naona polisi wanazunguka na magari yako wakiwa tayari kwa lolote...
du kweli nch ishauzwa arusha hakuna umeme mji mzima daladala hakuna maji hakuna na mbunge wetu hayupo du kweli magamba kiboko