The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 609
- 1,584
Achana na Makonda je huyo Kipenzi chako Bona Kamoli atatoboa mbele ya Rajab Amiry Rais wa Shirikisho la Filamu Tz kura za maoni jimboni maana juzi katika pita pita zangu humu nilikutana na uzi wake wa kutia tia huruma jinsi anavyoishi kwa stress za mikopo,ndoa hana na familia imeparanganyika?Makonda asiposhinda nikatwe dudu yangu iwe filimbi ya wachawi