GE2025 Arusha: Kula kwa Makonda Kura kwa Gambo

GE2025 Arusha: Kula kwa Makonda Kura kwa Gambo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukimaanisha kwamba makonda atashindwa..?? That will never happen,,as am sure that the founder of JF is max melo,am also sure that makonda will take an easy win
Ushindi katika chaguzi za Tanzania uko wa aina mbili; wa ndani ya sanduku la kura na wa nje ya sanduku.
Kwa mantiki hiyo, atashinda
 
Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini

Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.

Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
Gambo hana chake Makonda ni mtoto wa Mama Samia kisiasa kama mlikuwa hamjui.
 
Back
Top Bottom