Tripple MM
JF-Expert Member
- May 31, 2023
- 598
- 866
gambo kwao Arusha? tuanzie hapo kwanza
Chura atakanyaga maji ya moto itakuwa mwisho wake, kile kipande cha ghuba kinasumbua continent shenzi type.Chura atatenda
Huenda wamejadili kabla
Bado ana mentality ya kutunishiana misuliMakonda ni mjinga au hana washauri Nyamagana ilikua nyeupe sana kwake
Hivi Gambo kwao ni wapi?gambo kwao Arusha? tuanzie hapo kwanza
Mjinga sehemu ambayo ushindani wake ulikia mdogo Nyamagana mwanza kiujumla alikua anatoboa mapemaBado ana mentality ya kutunishiana misuli
Bila kubebwa konda wa maigizo project ya wakubwa hatoboi labda wambebe.Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini
Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.
Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
Bila kubebwa na kutibiwa kura za wajumbe hatoboi.Makonda asiposhinda nikatwe dudu yangu iwe filimbi ya wachawi
Bona nae kachokwaAchana na Makonda je huyo Kipenzi chako Bona Kamoli atatoboa mbele ya Rajab Amiry Rais wa Shirikisho la Filamu Tz kura za maoni jimboni maana juzi katika pita pita zangu humu nilikutana na uzi wake wa kutia tia huruma jinsi anavyoishi kwa stress za mikopo,ndoa hana na familia imeparanganyika?
Labda kama ni wapumbavu ndio watamchagya huyo chawa wa mfumo kutoka Misungwi.Sio Rahisi kuwashauri watu wanaokaribia kutapeliwa.Yaani mtu alike tu Arusha ghafla awe mwakilishi wao.Najiuliza Arusha haina watu waliokuwa wamejipanga na kuzijua shida zao.Ni kweli ubunge hauna mipaka lakini uwakilishi mzuri ni ule wenye interest.
Sasa wewe hanithi dudu yako ina thamani gani ?Makonda asiposhinda nikatwe dudu yangu iwe filimbi ya wachawi
Sawa. Mimi niliyemuona aliniambia kinyume chake, "KULA KWA GAMBO, KURA KWA MAKONDA"!Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini
Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.
Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURANikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini
Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.
Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
Wana kura zao kwenye masandukuNikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini
Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.
Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
pesa itaongeaMakonda hatoboi Arusha