NOTEDHapiti
Mwamba ana mji arusha, hata baada ya kuharibikiwa dar alirud arusha na mkewe kwenye makazi yao ya kudumu.Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
SahihiMwamba ana mji arusha, hata baada ya kuharibikiwa dar alirud arusha na mkewe kwenye makazi yao ya kudumu.
Huo mji upo sehemu gani? Kwa nini hataki kuhamia kwenye mji wake anang'ang'ania nyumba ya SerikaliMwamba ana mji arusha, hata baada ya kuharibikiwa dar alirud arusha na mkewe kwenye makazi yao ya kudumu.
Ana makazi rasmi njiro. Pia ajira inapokoma unapewa miezi 6 ya kutafuta makazi mengine, hufukuzwi kwenye nyumba kama ng'ombe thus bado yupo ndani ya muda.Huo mji upo sehemu gani? Kwa nini hataki kuhamia kwenye mji wake anang'ang'ania nyumba ya Serikali
Huyo mteule ana nyumba kila mkoa ulio na tija ,taja mkoa unaoishi ni kwambie anazo ngapi ,Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
Sawa Bwana GYule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
Tatizo sio wananchi , ccm wakitaka mtu wao apite hakuna kitakacho shindikanaYaani Arusha nitawaona mananga kweli kweli kukubali kuchagua mtu wa Meatu kuwa mbunge wa Arusha kama kwamba hakuna kabisa akina Mollel wenye uwezo wa kuongoza kisiasa. 🤔
Kwanza uchaguzi wenyewe upo basi .... No reformsNoelection ⏯️▶️
Mimi mzaliwa wa Arusha tangu ikiitwa Arusha Town Counsel mwenyeji aliyebahatika kuwa mbunge ni Solomon Ole Saibul pekee tangu uhuru na baada ya kupata yeye na hayati Titus wakaanzisha kitu kinaitwa WAPA malengo yake yakiwa ni ukabila tuu .Yule anae taka jimbo lenu na kusema yeye ni mkaazi wa Arusha sasa tafuteni anapo ishi.
Ang'ang'ania nyumba ya Mteule mpya. Na mteule ana kaa Hotelini.
Bado hamja shtuka tuu kwamba hapa hakuna mwakilishi??
Kwenye kuchagua mwakilishi tuache ushabiki, chagueni mtu sahihi.
Hizi ni dalili za mwanzo kwamba mkisha mpa kura hapi ni bye bye wajinga.
Amkeni!!!! 😁
Kinana ame zaliwa wapi? Mrema makazi yake ya kudumu wapi? Gambo makazi yake ya kudumu ni wapi? Huyo mnae mpigia kifua anaishi wapi baada ya kuutamani ubunge wa jimbo la ArushaMimi mzaliwa wa Arusha tangu ikiitwa Arusha Town Counsel mwenyeji aliyebahatika kuwa mbunge ni Solomon Ole Saibul pekee tangu uhuru na baada ya kupata yeye na hayati Titus wakaanzisha kitu kinaitwa WAPA malengo yake yakiwa ni ukabila tuu .
Ujinga mtupu
Tangu Nsilo Swai wakati wa uhuru kupitia Mmbaga,Kinana na Gambo larisai mtatawaliwa tuu.
Mwamba ana mji arusha, hata baada ya kuharibikiwa dar alirud arusha na mkewe kwenye makazi yao ya kudumu.
Na anmashamba Manyire Kitambo... Baada ya Magufuli kufa alirudi Arusha kuendelea na Kilimo.Mwamba ana mji arusha, hata baada ya kuharibikiwa dar alirud arusha na mkewe kwenye makazi yao ya kudumu.
Huwajui waarusha vizuri.Yaani Arusha nitawaona mananga kweli kweli kukubali kuchagua mtu wa Meatu kuwa mbunge wa Arusha kama kwamba hakuna kabisa akina Mollel wenye uwezo wa kuongoza kisiasa. 🤔
Kwanza uchaguzi wenyewe upo basi .... No reformsNoelection ⏯️▶️