Arusha imekuzwa kuliko ilivyo!! ( Overrated )

Arusha imekuzwa kuliko ilivyo!! ( Overrated )

Km ipi ambayo gari haziwezi kupishana au unaongea tu kufurahisha kijiwe.
mitaa karibu na snowcrest opposite huko ndani kote kuna nuymba nzuri kabisa lakini hakuna barabara ya kupishana corola mbili...na wala sio zamani sana.nilikua huko easter ya juzi tu!
 
mitaa karibu na snowcrest opposite huko ndani kote kuna nuymba nzuri kabisa lakini hakuna barabara ya kupishana corola mbili...na wala sio zamani sana.nilikua huko easter ya juzi tu!
Barabara nyingine ni inayotoka Silent Sakina kama unapandisha kwenye Kiranyi. Nyingine ni barabara inayotokea maeneo ya Esso kupandisha Sakina kupitia Matejoo. Kimsingi zipo kibao.
Nakubaliana na mtoa mada Arusha ni overrated sana.
 
Weka picha ya hizo barabara sio porojo..
 
Shida jamaa alitaka alinganishe kila kitu kilichopo dar na arusha hapo ndio tatizo lilipo...anakuambia arusha kuna hiace fupi wakati ukiondoa dar nchi nzima huo ndio usafiri wa abiria ndani ya miji na majiji yaliyobaki...anatuambia majengo ya kuhesabu wakati ukiondoa dar ni mwanza pekee ndio unaweza kuipambanisha na arusha...viwanja vya kujirusha vipo vya kutosha na ukiondoa dar nadhani arusha na mwanza ndio panafuata mwisho ukweli utabaki pale pale kuna miji ya kuipondea lakini sio arusha maana ikatokea dar imepigwa Bomu arusha na mwanza ndio patakuwa mjini.
True say bro
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Baada ya Dar na Mwz wapi kama si Ars kwa miji yetu ya Tz!
 
Mimi huwa nawaambia arusha ya miaka ya nyuma sio hii ya leo...hayo matukio ya kuchomana visu...sijui wizi wa ubabe hakunag siku hizi..karibu arusha pako fresh sana
Matukio ya ajabu ajabu kam hayo, mkoa gani hauna Tz hii!
 
Matukio ya ajabu ajabu kam hayo, mkoa gani hauna Tz hii!
Hawa jamaa wanaongea kufurahisha kijiwe tu ila ukwel upo wazi huyo muanzisha thread alitaka akute mabasi ya mwendo kasi arusha na daraja la kigamboni ndio aridhike.
 
Wale mnaobisha kwamba arusha ni poor na watu wanaishi maisha magumu sana kama ambavyo makazi,afya zao na tabia za ushari kuashiria kukata tamaa,hebu safiri kwa gari kuanzia kia hadi karatu alafu compare kwa kusafiri kuanzia iringa hadi njombe/tunduma then chunguza hadhi ya makazi ya miji na vijiji,tabia na afya za watu utanambia wapi just by eye observation kuna maendeleo.

Umasaini vumbi tupu. Nyanda za juu pako poa mpaka vijijini
 
Kitu ambacho hujui ni kuwa watu maelfu na Malaki wanaweza kuja Arusha kutoka marekani na ulaya wakakaa Arusha mwezi na wakaondokea hapo Arusha bila kwenda kwenye miji yako unayoiona wewe ni ya 'kijanja',kama mji ni wa kishamba na wa hovyo inakuwaje kitu cha elfu 5 kinauzwa elfu 30 na watu wananunua?Dar ni wangapi wangeweza kununua kwa hiyo bei?Kingine ni kuwa Arusha ndio mji pekee watu wana msimamo..wakisema ni front ni front...hakuna kurubuniwa na tshirt za ccm wala kuogopa udwanzi.Kama unafikiri ujanja ni magorofa ya NSSF na LAPF yaliyojaa Dar, u must get your head examined!I love Arusha until I die...Live and die in Arusha..!
 
Umasaini vumbi tupu. Nyanda za juu pako poa mpaka vijijini
We si walewale wazee wa kuponda....kazi yenu ni kuipondea arusha without any evidence...!tafuteni miji ya kuipondea sio arusha...!ukitaka kujua arusha ni habari nyingine angalia kwann humu jf kila baada ya siku chache lazima kuna watu wataanzisha Uzi wa kuijadili arusha.
 
Mwanaume wa Dar at Work.. Utachelea kufanya yako bablai.. Arusha ni jiji ambalo utajiri unamilikiwa na vijana wachapakazi, sio wazee na vijana mafisadi kama huko kwenu, mpaka uloge ndo uwe na mali
 
Hawa jamaa wanaongea kufurahisha kijiwe tu ila ukwel upo wazi huyo muanzisha thread alitaka akute mabasi ya mwendo kasi arusha na daraja la kigamboni ndio aridhike.
Mkuu ungewapotezea hawa wazembe ingekua poa sana.

Waache wajiulize, na wajijibu wenyewe.
 
Kwa hiyo uko ulikoenda ndio arusha ikaisha?? Mwenyeji wako akakuambia imeisha??

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Ndio ukweli jamani!
Huitaji mwenyeji kujua kuwa mji Fulani mzuri! Arusha haijapangwa kabisa!
In 10 years Dodoma itakuwa nzuri kuliko mji wowote Tanzania! Ila in 100 years Arusha haitoweza kuwa hata kama Moshi! Mji haukui kwa kuwa haupangiki, it is between mji na kijiji! Mashamba, mifugo na makazi vyote vimechanganyika!mumcant tell kama upo town au bush!
 
5526cbdb8238820514918848d3b3af73.jpg
 
Back
Top Bottom