Mimi ni mtu wa Arusha tena ni Muarusha kwa wanaojua hilo kabila ila natokea Namanga..
Wazazi walihamisha makazi wakati nipo chalii sana hvyo nikawa sipajui vizuri kwetu,Kwakuwa nimekua sana Moro nikawa najiita Mmoro,sasa kutokana na kusifiwa sana Arusha ikabidi niende huko homland,daa hizo sifa na kulivyo are too different,Arusha kila kitu shida,maisha magumuu saaaana,hakuna changanyikeni,ila ni watu wakujinasibu tuu..Mbeya ipo vizuri zaidi ya A.town..
NOTE:-Kuna sehemu expensive na standard za ukweli sana,ukiwa na maisha yakawaida huwezi kuzijua,kuna Hotel zakibabe ila zimejificha.