Arusha imekuzwa kuliko ilivyo!! ( Overrated )

Arusha imekuzwa kuliko ilivyo!! ( Overrated )

Mtoa mada anakosea,hakuna jiji TZN la kulinganisha na Dar,huwa wanalinganisha majiji/mikoa mingine.Hata hivyo kuna hoteli kisasa zaidi na hadhi kubwa kupita mji/mkoa wowote wa TZN ikiwemo Dar lakini kwa ajili ya wazungu.By the way hali ya maisha/maendeleo na makazi ya individual ordinary people ni magumu ukilinganisha na maeneo mengi ya nchi,ndo maana nyuma tu ya hayo magorofa hapo mjini ni nyumba za matope balaa,wilayani huko ndo usiseme,huwezi linganisha na mikoa ya nyanda za juu kusini(Mbeya,Iringa,Njombe,Ruvuma,Rukwa,Katavi) ila wana hang over ya kudhania magorofa ya hapo mjini ndo maisha,wanavuta bange coz of life hardship stresses,tuwahurumie tu!
mkuu kwani watu wa arusha wamekukosea nini maana kitendo cha kuifananisha Arusha na mikoa ya nyanda za juu kusini ni sawa na uuwaji kabisa
 
Kwa ule udogo wa mji wa Arusha sidhani kama unahitaji mwenyeji....labda awe kwa ajili ya kukukinga na wezi maana huko ndio kitovu cha wizi wa kutumia nguvu....
kuna mdau kasema hawana nguvu bali wanatumia silaha. ila serikali ingeweka kipaumbele cha pekee kwenye barabara na miundombinu. watalii wa siku hizi hawapendi sehemu chafu na mbaya. ndiyo maana wanajazana Dubai, Paris, Uswiswi, Macau etc. hawapendi shida.
 
Wale mnaobisha kwamba arusha ni poor na watu wanaishi maisha magumu sana kama ambavyo makazi,afya zao na tabia za ushari kuashiria kukata tamaa,hebu safiri kwa gari kuanzia kia hadi karatu alafu compare kwa kusafiri kuanzia iringa hadi njombe/tunduma then chunguza hadhi ya makazi ya miji na vijiji,tabia na afya za watu utanambia wapi just by eye observation kuna maendeleo.
 
mkuu kwani watu wa arusha wamekukosea nini maana kitendo cha kuifananisha Arusha na mikoa ya nyanda za juu kusini ni sawa na uuwaji kabisa
Ni kweli kabisa kaka kuifananisha arusha na nyanda za juu kusin ni sawa na uuaji kabisa na si kuua tu bali dhambi ya uuaji yenyewe.

Maana nyanda za juu kusin haina maghorofa,maeneo ya utalii kama arusha,sio kitov cha Africa na wala watu wake hawafanan kabisa na watu wa arusha.

Mikoa ya nyanda za juu kusini kwanza kumebarikiwa,watu wake wana mcha na kumjua MUNGU kwa % kubwa.

Wanajituma kutafuta maisha ,hawana sifa mbaya zaid ya upungufu wa kibinadamu,wakarimu,

Wanamshukuru MUNGU kwa kile wanacho kipata kwa 7bu wao hawafanani na wengine.

Mungu kawabarikia uzao wa vyakula vya aina zote hata kufikia kulisha taifa ni heshima ya pekee sana.

Wana akili ya utafutaj kwa jinsia zote na ardhi yao inasadifu yaliyomo nn utafute huko ukose?

Maisha yao ni yakawaida na fedha yao haishikwi na watu wachache na ndio mana si ajabu kusikia mboga sh.200,hata mtu wa bajet ya 3000 kwa siku anaish.

SI UMEONA UTOFAUTI????KWELI HUWEZI KUFANANISHA NA ARUSHA MKUU
 
Arusha all day every day. Nashangaa sana people toka Dar au place nyingine Tz wanakuja A town wanatembea maeneo ya kawaida wanasema wanaijua A town. Njoo na dough ya kutosha hautotaka uondoke Arusha. Hapa hali ya maisha ni juu na kuna mambo mengi ya kufanya, sahau huko mnako tembelea, I doubt wewe bado hustling hujui. Arusha all day everyday
 
Kazi kponda tu, wenyewe wakisifia manlia ubaguzi. Arusha babyyyyyy! mtatokwa povu sana, ugumu wa maisha kama uliuona ndio kipimo cha akili. Tafuta hela kijana acha kulia lia hivyo vya elfu 5 ni fake na vipo huko kariakoo. Arusha ndio maana mabilionea wengi ili waweze miliki vitu origional jombaaa, machalii wanajivuruga na vumbi kutafuta hela ndefu arifu. Nyie kaeni Dar muogope vumbi endelee kunywa maji mnyang;anyane make up na mademu. Arusha huwezi ilinganisha na Dar wewe hata mie nilipokuwa nasikia Dar ni tofauti na nilivyo iona hakuna jipya TZ wote sawa tu.
 
Wee kima sana..!! Mijitu mingine.. utakuta kwenu hata pikipiki hamna.. unaongelea ARUSHA..!! Maskini wa akili ni maskini wa maisha yake yote kwa kila kitu.. ww maskini wa akili.. so maskini wee..!!
 
Wale mnaobisha kwamba arusha ni poor na watu wanaishi maisha magumu sana kama ambavyo makazi,afya zao na tabia za ushari kuashiria kukata tamaa,hebu safiri kwa gari kuanzia kia hadi karatu alafu compare kwa kusafiri kuanzia iringa hadi njombe/tunduma then chunguza hadhi ya makazi ya miji na vijiji,tabia na afya za watu utanambia wapi just by eye observation kuna maendeleo.
mbeya ina GDP Ya 3.2triln tsh na hela ipo kwa wananchi. Arusha ina 2.1 na pesa ipo kwa wachimba madini na kampuni za utalii.
 
Wanabodi habari zenu
Nilikuwa sijawahi kufika Arusha, tangu nikiwa sekondari mpaka chuo nimesoma na machalii mbalimbali toka mkoa huo wa Arusha, wamekuwa wanapasifia sana kama si mno.

Hata wadau mbalimbali waliowahi kufika wamekuwa wanapasifia sana ni pazuri na pamejengeka vizuri hata kufikia hadhi ya kuitwa " Geneva of Africa ". Pia uwepo wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, uwepo wa machimbo ya madini na sekta ya utalii imechangia sifa za Jiji hilo la Arusha kuzagaa mikoa mingine hali inayofanya kila mtu atamani kufika Arusha akiamini ni pazuri kama alivyohadithiwa.

Mungu si Athumani, nikapata safari ya kwenda Arusha wiki iliyopita, MAMA YANGU!! Sikuamini macho yangu, ni sehemu moja ya kawaida sana tena sana. Kwanza hapo wanapopaita Mjini ni pa kishamba sana, Stand ya mabasi ni kawaida yaani hata stand ya daladala ya Mbezi ni nzuri.
Majengo yenyewe ni ya kuhesabu hapo katikati ya mji.

Nikaingia sasa maeneo kama Sakina, Moshono, Njiro pakawaida sana, nikaamini mkoa ni mkoa tu!! Jiji kama lile kuna hiace zile fupi ndio zimejaa mpaka kero, huko Ngaramtoni kuna vumbi ambalo sijawahi kuliona kabisa. Bei ya vitu ndio usiseme yaani kitu cha kuuzwa elfu 5 utaambiwa elfu 30. Hata viwanja vya kijanja vya kujirusha Arusha ni vya kuhesabu na ushamba mwingi sana.

Kitu pekee cha kujipongeza na kujisifu kwa watu wa Arusha ni uwepo wa mbuzi choma kwa Mrombo, baasi hiko ndio nimeona tu!! Kwa maneno mengine Arusha ni overrated region.
Jombaaa ulipotezwa ati, Bugaluu ulipacheki au vepe, uzuri mwingine ambao hujautaja Ni kupatikana kwa miraaa katk grosari zote, Yan huangaiki chaliii
 
Arusha hela ngumu kupatikana halafu bidhaa zipo juu mno nakumbuka mwaka jana nilienda kwenye msiba nilipofika nikaona kutembea tembea mtaani na raba muda wote sijazoe ikabidi nimwambie mwenyeji anipeleke sehemu nikanunue sandals akinipeleka kwenye soko flan hivi local aisee kuuliza bei naambiwa 45k wakati quality ileile hapa mjini dar unaipata kwa 15k hahaha hela nilikuwa nayo lakini ikabidi nighairishe zoezi moyoni nikasema kwa hizo bei mtawakamata haohao wa arusha
 
Hahhahaa izo hotel huwezi kuta muarusha hata mmoja km unabisha tuma picture ukiwa huko kwy izo hotel.Washukuruni wazungu nyie
Jicheki vizur jombaa, utaumiaa ukishindina na kitu ya pande hii, full ukichaaa mazee
 
Arusha mji wa kiwaki sana hela ngumu kupatikana halafu bidhaa zipo juu mno nakumbuka mwaka jana nilienda kwenye msiba nilipofika nikaona kutembea tembea mtaani na raba muda wote sijazoe ikabidi nimwambie mwenyeji anipeleke sehemu nikanunue sandals akinipeleka kwenye soko flan hivi local aisee kuuliza bei naambiwa 45k wakati quality ileile hapa mjini dar unaipata kwa 15k hahaha hela nilikuwa nayo lakini ikabidi nighairishe zoezi moyoni nikasema kwa hizo bei mtawakamata haohao makolo wa arusha
Au vepee?
 
Ntakuja mida kidogo kukupa Habari za chorongo mzee
 
Back
Top Bottom