Arusha imekuzwa kuliko ilivyo!! ( Overrated )

Arusha imekuzwa kuliko ilivyo!! ( Overrated )

Huyu naye... Anataka kununua bidhaa ya 30,000sh kwa 5,000sh,!! Ule ni mji wa wajanja,matumizi kwenda mbele. Arusaga hiyo chalii,watoto wa nyoka. CCM ni chama cha upinzani huko. Ni mji ambao vikao vya CCM,wajumbe wake wanavali sare za chama ukumbini. Hivi viashiria vya maendeleo ni nimi?
 
We si walewale wazee wa kuponda....kazi yenu ni kuipondea arusha without any evidence...!tafuteni miji ya kuipondea sio arusha...!ukitaka kujua arusha ni habari nyingine angalia kwann humu jf kila baada ya siku chache lazima kuna watu wataanzisha Uzi wa kuijadili arusha.

Huwezi linganisha Longido na makambako. Kusini pako juu
 
Nimezaliwa arusha, nimetembea majiji yote ya afrika mashariki, kiuhalisia majiji haswa ni nairob na dar, haya mengine yoote, mombasa, mwanza, ars, kisumu, hamna tofaut kabisa, kampala naweza ilinganisha na mombasa , arush inaongelewa sana kwa sababu za kitalii, diplomacy, tanzanite na vingine na ndio kinachoifanya watu kudhan ni pa kipekee na tofauti sana but ni sawa na miji mingine inayokuwa, hamna cha mwanza wala nini kote hamna jiji!

We acha kulinganisha mwanza na mji wa kipumbavu kama arusha
 
Kwan mwanza kuna kipi cha kipekee ambacho arusha hamna? Dont fool yourself, hii mij yote ndio sasa inakuwa na inakbiliwa na changamoto nyingi ikiwamo, population na mipango miji, mwanza wa a adress vp hiz problems? Kuna mzungu nlimuuliza anoionaje ars, akasema kwa level za ki ulaya it is "A BIG VILLAGE"... sisi tunatoka povu sifia upuuz.
 
Yaani kumbe kulia kotee ni ukubwa wa bei? Haahaaaaa! baki huko huko ambako matumbo yenu mmeyageuza makontaina ya kubebea unga, Arusha hela ipo ukiitafuta na uzuri wa Arusha sio dampo la bidhaa feki kama Dar ndio maana vitu origional na bei ni ya ukweli, Arusha hakkuna kukaa kijiweni asubuhi na jioni urudi na hela kwako, lazima ufanye kazi kuitafuta pesa, na ukishaipata unaitumia vyema tu kwa kununua hizo bidhaa safi. Unataka bidhaa mbovu kama zile za kariakoo ambazo matumizi yake ni wiki mbili? Bakini huko huku tunakula vitu origional ndani ya hewa safi viwanja vya kijanja na kila week end vinajaa, hapo ndio ujiulize kama pesa ngumu kumbi za starehee mbona zipo full?! Acheni uvivu njoo mpige kazi mpate hela sio kuomba omba mapedeshee wawabebe, kwanza Arusha hakuna pedeshee hata mmoja, kuna mabilionea umri hauzidi 50 na wanapesa mbaya sasa kama hakuna pesa hawa wanamiliki nini? Sekta binafsi Arusha ndio zimeajiri watu wengi kuliko serikali, ukiachana na walimu, bado hamuoni tu? Kizuri chajiuza, mtachoka sana na sasa chini ya UKAWA speed kubwa ya maendeleo.
 
Hata wadau mbalimbali waliowahi kufika wamekuwa wanapasifia sana ni pazuri na pamejengeka vizuri hata kufikia hadhi ya kuitwa " Geneva of Africa ".
kaka kulingana na kiwango changu kidogo cha uelewa, arusha huitwa Geneva ya Afrika si kwa sababu ya mandhari ya jiji lenyewe (scenery) bali ni kutokana na ukweli kwamba mikutano mingi ya usuluhishi migogoro mingi katika eneo la afrika ya mashariki na maziwa makuu (mgogoro wa sasa wa Burundi & 1994 Rwanda-Burundi Political Instability) hufanyiwa arusha hususan katika jengo la A.I.C.C kama ambavyo usuluhishi wa migogoro mingi ya kimataifa (Iran-West nuclear deal & Syria conflicts) hufanyika huko Geneva Switzerland.......!!!!!!!!!!!!
"i stand to be corrected as well"
 
Kwan mwanza kuna kipi cha kipekee ambacho arusha hamna? Dont fool yourself, hii mij yote ndio sasa inakuwa na inakbiliwa na changamoto nyingi ikiwamo, population na mipango miji, mwanza wa a adress vp hiz problems? Kuna mzungu nlimuuliza anoionaje ars, akasema kwa level za ki ulaya it is "A BIG VILLAGE"... sisi tunatoka povu sifia upuuz.

Umefika Ulaya wewe au unasikia tu. Narudia tena Usilinganishe Jiji la Mwanza na hicho kijiji chenu mnachokiita cjui arusha. Kwetu sisi size ya Arusha ni sawa na Kahama tu.
 
Nimetoka arusha juzi,,,.nilikuwa nataman sana kuijua arusha lakin duh,,,, ni.ka mji kadogo sana yan ukipanda daladala zile fupi kwenda mahali basi unakutana na migomba kwa mda mfupi sana,,,, pako over rated saaana,, mwanza imetambaa city.center.yake tofaut na arusha sema tu ng in I kumeza,,, mwanza the.best than arusha,,,,,

Na ndio maana mwanza ilianza kupewa hadhi ya jiji then baadar arusha
 
Wewe itakua umeishia kwa mromboo tu ndio unadhani umefika Arusha yote

WATU WENGI WANAOSEMA UKWELI WA ARUSHA, KWA UPANDE WA INFRASTRUCTURENA GENERAL CIVILIZATION WANASHAMBULIWA SANA KWA LUGHA CHAFU SIZIZO NA UKWELI WALA UTAFITI. UKWELI NI KWAMBA ARUSHA NI MAHALI PA KAWAIDA SANA, UNPLANNED, WATU WAKE WAKO ARROGANT, UN- EXPOSED na WAKO UNNECESSARILY REACTIVE. KWA KIFUPI SI MAHALI PAZURI PA KUISHI,... its simply chaotic!!!!
 
Nimetoka arusha juzi,,,.nilikuwa nataman sana kuijua arusha lakin duh,,,, ni.ka mji kadogo sana yan ukipanda daladala zile fupi kwenda mahali basi unakutana na migomba kwa mda mfupi sana,,,, pako over rated saaana,, mwanza imetambaa city.center.yake tofaut na arusha sema tu ng in I kumeza,,, mwanza the.best than arusha,,,,,

Na ndio maana mwanza ilianza kupewa hadhi ya jiji then baadar arusha

Waambie hao wala mirungi.
 
You gat a long way to go, ulaya ni kama nyegez kwangu, nid to see stamps on my passport? Be my mbulula guest!
 
Naii na dar ndio somehow cities "somehow"... Tushaur viongoz wafuate taratibu za majiji kama kweli tuna upendo na Tanzania.
 
Wanabodi habari zenu
Nilikuwa sijawahi kufika Arusha, tangu nikiwa sekondari mpaka chuo nimesoma na machalii mbalimbali toka mkoa huo wa Arusha, wamekuwa wanapasifia sana kama si mno.

Hata wadau mbalimbali waliowahi kufika wamekuwa wanapasifia sana ni pazuri na pamejengeka vizuri hata kufikia hadhi ya kuitwa " Geneva of Africa ". Pia uwepo wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, uwepo wa machimbo ya madini na sekta ya utalii imechangia sifa za Jiji hilo la Arusha kuzagaa mikoa mingine hali inayofanya kila mtu atamani kufika Arusha akiamini ni pazuri kama alivyohadithiwa.

Mungu si Athumani, nikapata safari ya kwenda Arusha wiki iliyopita, MAMA YANGU!! Sikuamini macho yangu, ni sehemu moja ya kawaida sana tena sana. Kwanza hapo wanapopaita Mjini ni pa kishamba sana, Stand ya mabasi ni kawaida yaani hata stand ya daladala ya Mbezi ni nzuri.
Majengo yenyewe ni ya kuhesabu hapo katikati ya mji.

Nikaingia sasa maeneo kama Sakina, Moshono, Njiro pakawaida sana, nikaamini mkoa ni mkoa tu!! Jiji kama lile kuna hiace zile fupi ndio zimejaa mpaka kero, huko Ngaramtoni kuna vumbi ambalo sijawahi kuliona kabisa. Bei ya vitu ndio usiseme yaani kitu cha kuuzwa elfu 5 utaambiwa elfu 30. Hata viwanja vya kijanja vya kujirusha Arusha ni vya kuhesabu na ushamba mwingi sana.

Kitu pekee cha kujipongeza na kujisifu kwa watu wa Arusha ni uwepo wa mbuzi choma kwa Mrombo, baasi hiko ndio nimeona tu!! Kwa maneno mengine Arusha ni overrated region.

Hujakaa uelewa uzuri wa arusha kama utaangalia kwa namna hiyo, Kwanza kumbuka hali ya hewa ya arusha ni conducive ukilinganisha na mikoa mingine sio baridi sana na sio joto sana, hakuna msongamano wa watu na magari yaani kuna space wakati mtu wa dar mfano mpaka aende akabanane sijui beach, hukufanikiwa kwenda USA river kuna hotel nyingi mno tulivu, pengine umzoea fujo fujo, pia kumbuka hapo ndio kituo cha utalii tanzania ni karibu kwenda mbuga zote ambazo utapata pumziko la moyo wako ambalo huwezi Pata sehemu kama da, pia ni katikati ya nchi zote za afrika mashariki, na mengine mengi, pengine ulipata boya wa kukuonesha arusha na pia umzoea labda mpaka uone magorofa ndio ujue ni pa kijanja,
Pole next time nitafute nikuonesha arusha, kikwete magu kila siku wako hapa unadhani wao ni mafala.
Think twice
 
Kwan mwanza kuna kipi cha kipekee ambacho arusha hamna? Dont fool yourself, hii mij yote ndio sasa inakuwa na inakbiliwa na changamoto nyingi ikiwamo, population na mipango miji, mwanza wa a adress vp hiz problems? Kuna mzungu nlimuuliza anoionaje ars, akasema kwa level za ki ulaya it is "A BIG VILLAGE"... sisi tunatoka povu sifia upuuz.
idaz akakujibu kwa levels za Kiulaya it is a big village!!! Hahahahaha... hukumsukumia kerbu 1
 
Back
Top Bottom