kipozi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 1,314
- 1,704
Mi nmetembea sehem nying tz bt arusha ni sehem nzur zaid ya kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
non sense........ afuu next tym uje na mkwanja wa kufika adii ngurdoto sio kuishia kwa morombo........ usituletee umaskini wako uku

Dar kusafi??kuna mdau kasema hawana nguvu bali wanatumia silaha. ila serikali ingeweka kipaumbele cha pekee kwenye barabara na miundombinu. watalii wa siku hizi hawapendi sehemu chafu na mbaya. ndiyo maana wanajazana Dubai, Paris, Uswiswi, Macau etc. hawapendi shida.
Hivi kwa akili yako bie ya bidhaa inayopatikana karikoo unataka bei hiyo hiyo mikoani ,ww ukiona maisha magumu find a place where you can get a cheap lifeArusha hela ngumu kupatikana halafu bidhaa zipo juu mno nakumbuka mwaka jana nilienda kwenye msiba nilipofika nikaona kutembea tembea mtaani na raba muda wote sijazoe ikabidi nimwambie mwenyeji anipeleke sehemu nikanunue sandals akinipeleka kwenye soko flan hivi local aisee kuuliza bei naambiwa 45k wakati quality ileile hapa mjini dar unaipata kwa 15k hahaha hela nilikuwa nayo lakini ikabidi nighairishe zoezi moyoni nikasema kwa hizo bei mtawakamata haohao wa arusha
ziko wapi hapo kijijini ArushaTatizo wewe umeishia stand ..kuna satellite cities Arusha ...ambazo DAR hakuna......inategemea mwenyeji wako