Arusha imekuzwa kuliko ilivyo!! ( Overrated )

Arusha jiji la utalii jombaa, we keep it naturally pande hii, we wakutoka mbagala huko utapapondea, wanaotoka ulaya ndio wamepaita geneva.
Sasa ww vimba pasuka hii ndio geneva ya africa. Uje na hela ya kutosha next time utembelee mahotel hujawai ona maporini huko sio hela za kwendea kwa mromboo.
 
Hahhahaa izo hotel huwezi kuta muarusha hata mmoja km unabisha tuma picture ukiwa huko kwy izo hotel.Washukuruni wazungu nyie
 
Mtoa mada anakosea,hakuna jiji TZN la kulinganisha na Dar,huwa wanalinganisha majiji/mikoa mingine.Hata hivyo kuna hoteli kisasa zaidi na hadhi kubwa kupita mji/mkoa wowote wa TZN ikiwemo Dar lakini kwa ajili ya wazungu.By the way hali ya maisha/maendeleo na makazi ya individual ordinary people ni magumu ukilinganisha na maeneo mengi ya nchi,ndo maana nyuma tu ya hayo magorofa hapo mjini ni nyumba za matope balaa,wilayani huko ndo usiseme,huwezi linganisha na mikoa ya nyanda za juu kusini(Mbeya,Iringa,Njombe,Ruvuma,Rukwa,Katavi) ila wana hang over ya kudhania magorofa ya hapo mjini ndo maisha,wanavuta bange coz of life hardship stresses,tuwahurumie tu!
 
Kwa hiyo uko ulikoenda ndio arusha ikaisha?? Mwenyeji wako akakuambia imeisha??

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mahoteli wanaenda wageni kwakuwa ndio watalii hata ukienda Israeli Au Dubai mahoteli kuna wageni....na Ndio tunapata mapato ya NJE Kama Nchi ..Mfano Mlima Kilimanjaro unachangia asilimia 40 ya mapato ya utalii....Mbuga za ngorongoro,Serengeti na zingine ukijumllisha na Mlima Ndio asilimia kubwa ya mapato ya Nchi ya NJE
 
Wanabodi habari zenu
Nilikuwa sijawahi kufika Arusha, tangu nikiwa sekondari mpaka chuo nimesoma na machalii mbalimbali toka mkoa huo wa Arusha, wamekuwa wanapasifia sana kama si mno.

Hata wadau mbalimbali waliowahi kufika wamekuwa wanapasifia sana ni pazuri na pamejengeka vizuri hata kufikia hadhi ya kuitwa " Geneva of Africa ". Pia uwepo wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, uwepo wa machimbo ya madini na sekta ya utalii imechangia sifa za Jiji hilo la Arusha kuzagaa mikoa mingine hali inayofanya kila mtu atamani kufika Arusha akiamini ni pazuri kama alivyohadithiwa.

Mungu si Athumani, nikapata safari ya kwenda Arusha wiki iliyopita, MAMA YANGU!! Sikuamini macho yangu, ni sehemu moja ya kawaida sana tena sana. Kwanza hapo wanapopaita Mjini ni pa kishamba sana, Stand ya mabasi ni kawaida yaani hata stand ya daladala ya Mbezi ni nzuri.
Majengo yenyewe ni ya kuhesabu hapo katikati ya mji.

Nikaingia sasa maeneo kama Sakina, Moshono, Njiro pakawaida sana, nikaamini mkoa ni mkoa tu!! Jiji kama lile kuna hiace zile fupi ndio zimejaa mpaka kero, huko Ngaramtoni kuna vumbi ambalo sijawahi kuliona kabisa. Bei ya vitu ndio usiseme yaani kitu cha kuuzwa elfu 5 utaambiwa elfu 30. Hata viwanja vya kijanja vya kujirusha Arusha ni vya kuhesabu na ushamba mwingi sana.

Kitu pekee cha kujipongeza na kujisifu kwa watu wa Arusha ni uwepo wa mbuzi choma kwa Mrombo, baasi hiko ndio nimeona tu!! Kwa maneno mengine Arusha ni overrated region.
Mwenyeji wa mkoa gani wewe?
 
Mzee maziwa ya mama kwa kipindi cha miezi sita ya mwanzo yana umuhimu sana. fanya kutembelea mikoa mingine kwanza usiwe mshamba fika Shinyanga Tabora kigoma singida mwanza Tanga lindi mtwara rukwa simiyu ndio uje na hizi hadithi zako za kamongo
 
kapiga porojo wee mwisho wa siku akatoa point haswaa iliyomsukuma kuanzisha uzi huu kwamba "kitu cha elfu 5 utauziwa 30" sasa umasikini wake unamfanya awe na hasira zinazoambatana na chuki kali

umasikini mbaya sana!

Arusha wanakula wanashiba anafikiri wanakula kachori wanalala sema umaskini wake umemtisha na kumshutua sana kwa sababu alidhani mambo ni ya kawaida. ajipange upya kabla ya kurudi tena
 
Hata haya matusi na kejeli za humu kwenye huu uzi unaonyesha ni jinsi gani vijana wa Arusha wasivyo wastaarabu na hii inajenga taswira halisi ya mkoa huo...hata mtu ambaye hajawahi kufika anaweza kubashiri kuwa huko kuna watu wa namna gani...!!???

Hata kama aliyoyasema au kuyaandika ni uongo na uzushi....mlichotakiwa ni kuuzika uzushi na uongo wake kwa taarifa za ukweli pasi na shaka kuhusu GENEVA HIYO YA AFRIKA.....
Bila ya kusahau picha na mandhali yote ya Arusha........bila shaka mtoa mada angekimbia kwa aibu......

Matusi na kejeli vinawaweka karibu usemi wa Arusha kumeathiriwa sana unywaji wa viroba.....kwa kuwa muungwana hawezi kutukana.....
 
Mimi huwa nawaambia arusha ya miaka ya nyuma sio hii ya leo...hayo matukio ya kuchomana visu...sijui wizi wa ubabe hakunag siku hizi..karibu arusha pako fresh sana
 
Wanabodi habari zenu
Nilikuwa sijawahi kufika Arusha, tangu nikiwa sekondari mpaka chuo nimesoma na machalii mbalimbali toka mkoa huo wa Arusha, wamekuwa wanapasifia sana kama si mno.

Hata wadau mbalimbali waliowahi kufika wamekuwa wanapasifia sana ni pazuri na pamejengeka vizuri hata kufikia hadhi ya kuitwa " Geneva of Africa ". Pia uwepo wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, uwepo wa machimbo ya madini na sekta ya utalii imechangia sifa za Jiji hilo la Arusha kuzagaa mikoa mingine hali inayofanya kila mtu atamani kufika Arusha akiamini ni pazuri kama alivyohadithiwa.

Mungu si Athumani, nikapata safari ya kwenda Arusha wiki iliyopita, MAMA YANGU!! Sikuamini macho yangu, ni sehemu moja ya kawaida sana tena sana. Kwanza hapo wanapopaita Mjini ni pa kishamba sana, Stand ya mabasi ni kawaida yaani hata stand ya daladala ya Mbezi ni nzuri.
Majengo yenyewe ni ya kuhesabu hapo katikati ya mji.

Nikaingia sasa maeneo kama Sakina, Moshono, Njiro pakawaida sana, nikaamini mkoa ni mkoa tu!! Jiji kama lile kuna hiace zile fupi ndio zimejaa mpaka kero, huko Ngaramtoni kuna vumbi ambalo sijawahi kuliona kabisa. Bei ya vitu ndio usiseme yaani kitu cha kuuzwa elfu 5 utaambiwa elfu 30. Hata viwanja vya kijanja vya kujirusha Arusha ni vya kuhesabu na ushamba mwingi sana.

Kitu pekee cha kujipongeza na kujisifu kwa watu wa Arusha ni uwepo wa mbuzi choma kwa Mrombo, baasi hiko ndio nimeona tu!! Kwa maneno mengine Arusha ni overrated region.

Ni arusha ipi hiyo unayoizungumzia. Wewe mwenyeji wa wapi?
 
Back
Top Bottom