Arusha imekuzwa kuliko ilivyo!! ( Overrated )

Arusha imekuzwa kuliko ilivyo!! ( Overrated )

Wanauziana bei kubwa si sababu ni washamba? Hawajui kama hivyo vitu sehemu nyingine vinapatikana kwa bei ya kawaida tu.
We nae!!Arusha ni kama Dar tu kwa bei ya vitu!Inategemea wewe umekwenda kununua wapi!

Kama ilivyo ukienda mlimani city au masaki tshirt ya kawaida utaambiwa elfu hamsini,ukienda mwenge au kariakoo tshirt hiyohiyo utaipata kwa elfu 20..Nenda Arusha ukakae hata Mwezi tu..utarudi ukiwa mwanaume/mwanamke jasiri sana
 
Shida jamaa alitaka alinganishe kila kitu kilichopo dar na arusha hapo ndio tatizo lilipo...anakuambia arusha kuna hiace fupi wakati ukiondoa dar nchi nzima huo ndio usafiri wa abiria ndani ya miji na majiji yaliyobaki....

Acha uongo...hvyo vi hiace hata Tanga havipo
Vi hiace vibayaaa
Arusha hata bajaji za kuhesabika
 
Wanabodi habari zenu
Nilikuwa sijawahi kufika Arusha, tangu nikiwa sekondari mpaka chuo nimesoma na machalii mbalimbali toka mkoa huo wa Arusha, wamekuwa wanapasifia sana kama si mno.

Hata wadau mbalimbali waliowahi kufika wamekuwa wanapasifia sana ni pazuri na pamejengeka vizuri hata kufikia hadhi ya kuitwa " Geneva of Africa ". Pia uwepo wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, uwepo wa machimbo ya madini na sekta ya utalii imechangia sifa za Jiji hilo la Arusha kuzagaa mikoa mingine hali inayofanya kila mtu atamani kufika Arusha akiamini ni pazuri kama alivyohadithiwa.

Mungu si Athumani, nikapata safari ya kwenda Arusha wiki iliyopita, MAMA YANGU!! Sikuamini macho yangu, ni sehemu moja ya kawaida sana tena sana. Kwanza hapo wanapopaita Mjini ni pa kishamba sana, Stand ya mabasi ni kawaida yaani hata stand ya daladala ya Mbezi ni nzuri.
Majengo yenyewe ni ya kuhesabu hapo katikati ya mji.

Nikaingia sasa maeneo kama Sakina, Moshono, Njiro pakawaida sana, nikaamini mkoa ni mkoa tu!! Jiji kama lile kuna hiace zile fupi ndio zimejaa mpaka kero, huko Ngaramtoni kuna vumbi ambalo sijawahi kuliona kabisa. Bei ya vitu ndio usiseme yaani kitu cha kuuzwa elfu 5 utaambiwa elfu 30. Hata viwanja vya kijanja vya kujirusha Arusha ni vya kuhesabu na ushamba mwingi sana.

Kitu pekee cha kujipongeza na kujisifu kwa watu wa Arusha ni uwepo wa mbuzi choma kwa Mrombo, baasi hiko ndio nimeona tu!! Kwa maneno mengine Arusha ni overrated region.
Kiukweli Arusha ni pazuri sana ukilinganisha na Kigoma!!
 
huo ni ukweli arusha ina kuzwa sana lakini ukifika ndio utaamini pale mjini unapazunguka kwa baiskel na utawashangaa wanao panda magari.
Na vile vi hiace vyao vinazunguka njia ndefu maksud wakat sehem zpo karibu karibu tu
 
Na vile vi hiace vyao vinazunguka njia ndefu maksud wakat sehem zpo karibu karibu tu
Huwa nashangaa sana..halafu kama hujawai fika Arusha unaweza fikiri ni mji wa matajiri na wazungu tuu na hakuna nyumba ya udongo...
 
Acha uongo...hvyo vi hiace hata Tanga havipo
Vi hiace vibayaaa
Arusha hata bajaji za kuhesabika
Suala la bajaji arusha nashangaa kuzioana sasahv tena baadhi ya sehemu lakini ninavofahamu bajaji zilikuwa haziruhusiwi kufanya biashara mjini...alafu tanga sio mji wa kulinganisha na arusha
 
Shida jamaa alitaka alinganishe kila kitu kilichopo dar na arusha hapo ndio tatizo lilipo...anakuambia arusha kuna hiace fupi wakati ukiondoa dar nchi nzima huo ndio usafiri wa abiria ndani ya miji na majiji yaliyobaki...anatuambia majengo ya kuhesabu wakati ukiondoa dar ni mwanza pekee ndio unaweza kuipambanisha na arusha...viwanja vya kujirusha vipo vya kutosha na ukiondoa dar nadhani arusha na mwanza ndio panafuata mwisho ukweli utabaki pale pale kuna miji yakuipondea lakini sio arusha maana ikatokea dar imepigwa Bomu arusha na mwanza ndio patakuwa mjini.

hiace fupi huzikuti mbeya,Iringa wala Mwanza aisee,achana na dar ambako ni historia kitambo!
chuga pako overrated sanaaaa.ni mji wa kawaida tu ambao biashara ya madini na utalii imeweka pesa kwa wachache na kupandisha gharama za maisha!kupafananisha na dar na mwanza ni matusi kabisa.the place comes third baad ya haya majiji mawili na pako hyped kukliko uhalisia.ubabe usio mpango unadhihirisha ushamba wa wengi wa wakazi.bangi,ulevi kupita kiasi na vurugu(haswa visu) ndio sifa kuu kabla ya madini na baada ya utalii
nimeishi chuga miaka miwili,jiji la ukweli ni daslam pekee,mwanza yuko kwenye uelekeo huo pia.
 
Suala la bajaji arusha nashangaa kuzioana sasahv tena baadhi ya sehemu lakini ninavofahamu bajaji zilikuwa haziruhusiwi kufanya biashara mjini...alafu tanga sio mji wa kulinganisha na arusha
Rudia point yako ya uongo uliyotoa kwamba ukitoa Dar kulikobaki usafir ni hvyo vi hiace vifupi kama vya Arusha wakat sio kwel nkakutolea mfano wa Tanga
Labd kama unatak useme hvyo vi hiace vifupi navyo ni utalii?
 
Huwa nashangaa sana..halafu kama hujawai fika Arusha unaweza fikiri ni mji wa matajiri na wazungu tuu na hakuna nyumba ya udongo...

vi barabara vyao sasa....vyembambaaaaa eti hakuna ambae yuko tayari kumega kipande cha ardhi barabara zitanuliwe.
vituo tu vya daladala vilivyojengwa vema ni vya kuhesabu...hebu acheni kuupa sifa isizokua nazo bana
 
Huu mji ni kweli ulitakiwa kuwa mji wa kitalii hakika lakini hauko kama watu wanavyo upandisha yani hapo kwenye bara bara ndio bure kabisa .......kama mtu hajawai kwenda Arusha atatamani akisikia maneno yao..
 
Wanabodi habari zenu
Nilikuwa sijawahi kufika Arusha, tangu nikiwa sekondari mpaka chuo nimesoma na machalii mbalimbali toka mkoa huo wa Arusha, wamekuwa wanapasifia sana kama si mno.

Hata wadau mbalimbali waliowahi kufika wamekuwa wanapasifia sana ni pazuri na pamejengeka vizuri hata kufikia hadhi ya kuitwa " Geneva of Africa ". Pia uwepo wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, uwepo wa machimbo ya madini na sekta ya utalii imechangia sifa za Jiji hilo la Arusha kuzagaa mikoa mingine hali inayofanya kila mtu atamani kufika Arusha akiamini ni pazuri kama alivyohadithiwa.

Mungu si Athumani, nikapata safari ya kwenda Arusha wiki iliyopita, MAMA YANGU!! Sikuamini macho yangu, ni sehemu moja ya kawaida sana tena sana. Kwanza hapo wanapopaita Mjini ni pa kishamba sana, Stand ya mabasi ni kawaida yaani hata stand ya daladala ya Mbezi ni nzuri.
Majengo yenyewe ni ya kuhesabu hapo katikati ya mji.

Nikaingia sasa maeneo kama Sakina, Moshono, Njiro pakawaida sana, nikaamini mkoa ni mkoa tu!! Jiji kama lile kuna hiace zile fupi ndio zimejaa mpaka kero, huko Ngaramtoni kuna vumbi ambalo sijawahi kuliona kabisa. Bei ya vitu ndio usiseme yaani kitu cha kuuzwa elfu 5 utaambiwa elfu 30. Hata viwanja vya kijanja vya kujirusha Arusha ni vya kuhesabu na ushamba mwingi sana.

Kitu pekee cha kujipongeza na kujisifu kwa watu wa Arusha ni uwepo wa mbuzi choma kwa Mrombo, baasi hiko ndio nimeona tu!! Kwa maneno mengine Arusha ni overrated region.

Huu mji haupo center, emptier katikati ukafikiri patakuwa kama kariakoo, pole
 
Kiukweli mm pia nilikuwa sijawahi kufika A. Town ila sifa zake nilikuwa nazisikia nilivyofika siku hiyo hata sikuamini macho yangu yaani pakibwege kweli
 
Kiukweli mm pia nilikuwa sijawahi kufika A. Town ila sifa zake nilikuwa nazisikia nilivyofika siku hiyo hata sikuamini macho yangu yaani pakibwege kweli
Hebu wekeni picha za huko kwenu na sisi tuweke za arusha tuone wapi pa kibwege km unavosema.
 
vi barabara vyao sasa....vyembambaaaaa eti hakuna ambae yuko tayari kumega kipande cha ardhi barabara zitanuliwe.
vituo tu vya daladala vilivyojengwa vema ni vya kuhesabu...hebu acheni kuupa sifa isizokua nazo bana
Upanuzi wa barabara kutoka tengeru mpaka sakina ulioanza tangu mwaka jana na unaendelea so point yako kwamba watu hawataki barabara zitanuliwe ni upotoshaji
 
Kiukweli mm pia nilikuwa sijawahi kufika A. Town ila sifa zake nilikuwa nazisikia nilivyofika siku hiyo hata sikuamini macho yangu yaani pakibwege kweli
Unaweza ukafikiri sio pale ulipo kuw una hadithiwa...
 
Shida jamaa alitaka alinganishe kila kitu kilichopo dar na arusha hapo ndio tatizo lilipo...anakuambia arusha kuna hiace fupi wakati ukiondoa dar nchi nzima huo ndio usafiri wa abiria ndani ya miji na majiji yaliyobaki...anatuambia majengo ya kuhesabu wakati ukiondoa dar ni mwanza pekee ndio unaweza kuipambanisha na arusha...viwanja vya kujirusha vipo vya kutosha na ukiondoa dar nadhani arusha na mwanza ndio panafuata mwisho ukweli utabaki pale pale kuna miji ya kuipondea lakini sio arusha maana ikatokea dar imepigwa Bomu arusha na mwanza ndio patakuwa mjini.
Mkuu don't Claim kuna Mbeya huko ooh,Im Arushanian and i appreciate that,A.town kuna majengo tuu yale ya serikali mawili matatu ila cyo jiji Quality kihivyo,wazungu wanapapenda cyo kwa uzuri wa mji nisikilize mimi nihivi (TAKE NOTES):-Arusha panapendwa na wageni kwanza

1.Ni sababu ya Good weather condition.

2.Pili ni sababu ya urahisi kutoka Jomo Kenyatta airport (KENYA) kwenda KIA (TZ) to Killimanjaro Mountain then to go back Jommo kenyatta then to fly everywhere they want around the world..

SIYO KWA KUWA NI KUZURI SAANA NOOO!

OVER NO MORE.
 
Nasisitiza Arusha life ni gumu sana kuliko pahala popote Tanzania,income gap/disparity ni kubwa mno,watu wachache wamehodhi ardhi kubwa ordinary people wanasafa,hang over ya magorofa ya mjini inawapumbaza while the masses are toiling,nasisitiza Arusha ni poor kuliko mikoa ya nyanda za juu kusini,huku kwetu hakuna magorofa marefu kwa ajili ya watalii maana magorofa sio kipimo cha ubora wa maisha ila kuna kuna huduma zote tena nzuri kuliko Arusha,nimesema safiri from kia to karatu,then from iringa to njombe/tunduma ufanye eye observation ya makazi ya watu kwenye miji na vijiji alafu usema wapi kuna maendeleo
 
Back
Top Bottom