Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha next level

Wote mnakaribishwa kuwekeza Arusha...
 
Endelea msukule wewe, ulikuwa unapima upepo.
Mtanyooka tu.
Im proud to be Tanzanian..neno ningejua huja mwisho wa Safari.. shikamoo mrisho mupoto.!!
1467699482330.jpg
1467699496692.jpg
1467699515929.jpg
1467699534741.jpg

Arusha next level

Wote mnakaribishwa kuwekeza Arusha...
 
Sina lengo baya mdau, hawa vijana wa arusha wanamambo ya ajabu sana, huwa wanajiona bora kuliko watu wa mikoa mingine tanzania na ndio lengo lao kuanzisha hizi nyuzi za kibaguzi na mimi huwa nazichafua makusudi.
Niwie radhi tu ndugu acha niwanyooshe.
Kumbeee
Lakini unaweza kujiona unafanya la maana lakini unaonekana punguani tu unaonekana age imesogea lakini hekima na maarifa Mungu kakunyima.

For the sake of Tanzania as one.
 
Mtu mwenye hekima na maarifa ni yule anaepinga ubaguzi, ukanda na ukabila tabia ni kama mlizonazo ninyi misukule wa kijijini arusha.
Haujiulizi kwanini mwalimu Nyerere alianzisha azimio la arusha huko kijijini arusha?
Hao ndio watu wenye maarifa, na walishaona mbali tabia zenu mbovu ninyi misukule ya huko porini arusha.
Mnaleta vi post vya kitoto kuhusu arusha kila siku humu jamii vi post vimekaa kikabila mnataka tuwachekee.
Watu wenye hekima na maarifa lazima wawapige vita huo utoto wenu.

Kwa taarifa yako post nyingi huwa zinaanzishwa na watu wa mikoa mingine kuipondea arusha...hii imeanzishwa kwa lengo la kuondoa dhana potofu inayooneshwa humu ndani dhidi ya arusha ndio maana imeitwa arusha halisi...wewe ndio kinara wa ubaguzi dhidi ya watu wa kaskazini...ilianzishwa thread ya mbeya nkaona na picha una post kabisa...ile thread ya mwanza na arusha ambayo ulijifanya wewe ni muamuzi ilianzishwa na motochini wa huko huko dsm cha kushangaz na yeye akawa anaipondea arusha...sasa jiulize nan mbaguzi kati ya nyie mnaoanzisha threads za kuiponda arusha na sisi tunaowapa ukweli wa arusha halisi..!
 
Sina tatizo na arusha, ila nina tatizo na tabia zenu mbovu za ubaguzi, ukabila na ukanda mnazotaka kuzisambaza nchi nzima kupitia jina la arusha, na wengi wenu asili yenu sio arusha.
 
Km mm asili yangu ni Kilimanjaro..nimezaliwa na kukulia arusha..sijawahi kubaguliwa na mtu yoyote sasa nashangaa huo ubaguzi wa kikabila unaouongelea ni upi..!
 
Nimezaliwa Tanzania kijana, mambo ya kuuliza watu mikoa waliyozaliwa kaulize wakenya ndio wanaubaguzi kama mnavyowaiga ninyi watu wa arusha.
Wakenya wamechukua fursa zote muhim hapo arusha na nyie mnashangaa tu.
mnawaacha wenzenu masai maporini huko arusha wakiangaika,
badala ya kuwaelimisha masai mshirikiane kuujenga mkoa wenu, halafu ninyi washamba wa arusha mnatuletea story za kitoto hapa JF, tena story za kibaguzi na ukanda.
Aisee mbona umeumia sana na huu uzi! Thread inasifia Arusha,reasoning yako inakuambia ni ubaguzi!! Kwa jinsi unavyoandika unasumbuliwa sana na wivu, kama thread inasifia Arusha na wewe sifia kwenu, ukiona ni ubaguzi kusifia achana nayo thats being a gentleman and a wise thing to do. Otherwise if the pressure persist a sip of water can help you to relax. Cheers.
 
Mwakaleli/Peramiho/Tanangozi/ Karagwe Temeke/Bagamoyo /Nanjilinji/Rombo........Bronx/Hillbrow/Arusha.. Meddelin etc. etc.

Hizi sehemu zote nilizotaja hapo juu ni nzuri sana kama una uchumi mzuri/pesa ya kutosha (financial stable)

Msitukanane vijana
Maghorofa mengi+hoteli nyingi za kifahali sehemu fulani sio kigezo cha kukufanya uwe na maisha bora
Kinachotakiwa ni kuchangamkia fursa zilizopo na kufanya maendeleo binafsi

Kukaa humu na kutuambia upo Massachusetts unakula bata wakati ukweli ni kwamba unaishi Pangani haiwezi kukusaidia chochote kwani sisi wachangiaji humu 90% ni hewa with fake Id

Nikirudi kwenye mada Arusha na Tanga ni mojawapo ya mikoa iliyopangiliwa vizuri ukilinganisha na baadhi ya sehemu nyingine Tanzania.

Fursa zipo popote duniani.
 
Sina tatizo na arusha, ila nina tatizo na tabia zenu mbovu za ubaguzi, ukabila na ukanda mnazotaka kuzisambaza nchi nzima kupitia jina la arusha, na wengi wenu asili yenu sio arusha.
Kama nimekosea utanisamehe sana ndugu yangu wewe ni jinsia gani kwanza nisije nikakulaumu kumbe wewe ni mdada wa kiswahili..Kama kweli wewe si mdada tena wa uswahilini nisamehe kwa hilo.
 
Mtanyooka tu
 
Aisee mbona umeumia sana na huu uzi! Thread inasifia Arusha,reasoning yako inakuambia ni ubaguzi!! Kwa jinsi unavyoandika unasumbuliwa sana na wivu, kama thread inasifia Arusha na wewe sifia kwenu, ukiona ni ubaguzi kusifia achana nayo thats being a gentleman and a wise thing to do. Otherwise if the pressure persist a sip of water can help you to relax. Cheers.
Nonsense.
Hicho kiingereza na elimu yako uchwara ungetumia kuwaelimisha ndugu zenu huko kijijini arusha, karatu, loliondo, monduli n. k wenye mila mbovu za kukeketana na masime hadi leo.
Jamii zenu zinateseka kule maporini badala ya kuwaelimisha mnaleta story za kitoto hapa JF.
Mtanyooka tu
 
Back
Top Bottom