FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,337
- 13,656
Aga khan University Campus in Arusha, the project is about to start.. Itakuwa 4 km kutoka Arusha Airport na itagharimu zaidi ya 1 Trillion Shilling za Kitanzania.. Itachukua wanafunzi kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini kwa kuanzia kama moja ya kuimarisha Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
Hii University itashindana na Udom kwa ukubwa.. Ndani ya chuo hiki kutakuwa na Shule ya Msingi, Sekondari, Hostels, Hospitali, Hotel kwa ajili ya mazoezi kwa wanafunzi na facilities nyinginezo.. Project kama hizi haziwezi kwenda Iyunga au Sengerema kamwe hahahahaha