Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Weka pic na za ao watoto wazur
65e04129127c8a9215f272cba3e51134.jpg


#YechuYechu
 
Mkuu mbona mazingira na sifa za ngarenaro, unga limited na matejoo hujaziweka?
 
Mkuu mbona mazingira na sifa za ngarenaro, unga limited na matejoo hujaziweka?
Amesahau pia ndo mji unaongoza kwa watu wenye roho za ukatili nahisi kwenye rekodi ya dunia wanaweza wakaingia kwenye topten
 
"A city is a beautiful city in the world/

makachaa mtaani wanaelewa my word/

onyesha upendo, usilete chuki..."

by Chindo Lomayani Lotuno.
 
Anasema eti nyuzi za kusifia mikoa zinachochea ukanda.. Lakini wiki iliyopita Mwanza walifungua wao wakisema wao ndio next after Dar na wakasifia miradi mbalimbali na fursa za mkoa wao kuendelea lakini huyu mpinga ukanda sikumwona akikemea.. Lakini nyuzi za Arusha lazima aje.. Sijui watu wa Arusha tumemfanya nini huyu jamaa

They hate us......we will survive ....

WE ARE PUBLIC ENEMIES ....
 
Back
Top Bottom