Hujamwelewe huyu chalii wa A town kasema zipo ndani ama karibu na A town
Nilishamwelewa alichomaanisha,lakini mimi nilikua nataka ataje vitu vilivyomo ndani ya mkoa wa Arusha tu,bila kutaja vivutio vilivyo jirani kama alivyotaja yeye japo amesema vipo karibuni au jirani,sawa lakini havipo ndani ya A City,kwa kua topic inahusu mkoa wa Arusha na uzuri wake,lakini tulishaeleweshana though.